Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Duh, ila Yule nyani mzeeBoss wa clouds
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, ila Yule nyani mzeeBoss wa clouds
Hawezi kuwa nyani ni binadamu mamito tuache kuwatusi watu hata kama hatuwapendiDuh, ila Yule nyani mzee
Sina maana hiyo maana yangu niHawezi kuwa nyani ni binadamu mamito tuache kuwatusi watu hata kama hatuwapendi
Nimekuelewa ila Mimi nina dusheSina maana hiyo maana yangu ni
*nyani mzee, kakwepa mishale mingi*
Ruge ni mkongwe kwenye industry hiyo ni ngumu sana kumshuka kwa wasafi TV /radio kwa kiki zao
HooiiiiNamuona Bashite yuleeee.
Anakula kiapo mjengoni kwa Ndugai, dhen anakula kiapo cha Baraza la Magogoni.
The rest will be history.
Kanda ya Ziwa hoyeeeeeee.
Na mwisho wa,ubaya ni aibuKama Kuna Mwanzo Bass Huwa Naamin Kuna Mwisho
Let Me See It This Movie
Kwahiyo unataka kusema Zari ni jina kubwa kuliko Diamond sio!!
Kama jibu lako ni NDIYO, unaweza kutujuza kabla ya uhusiano wa Zari na Diamond; Watanzania walikuwa wanamfahamu Zari kupitia nini hasa?!
Sidhani kama Zari ana akili kama zenu nyie wanawake wakibongo.
Shhhhh puliz usipayuke Madame numbisa asikusikieNa kweli wabongo hatuna akili za kucheza porn ila zari anazo sana
TumuombeeMpaka sasa Ruge anaendelea kudhoofika kimwili na umaarufu....CMG si tishio tena imebaki jina,mdogo mdogo ngoma inachacha ile huku upande wa pili taratiiibuuu unaendelea kukua ngoja tuendelea kusubiri ushuda wa andiko hili.
Kwani watarudiana lini mkuu?Umetumia vigezo gani mpaka kuaminisha watu kutwa zari na mond wameachana mazima?
Ruge anaumwa ugonjwa unaoitwa HOFU KUBWA.Mpaka sasa Ruge anaendelea kudhoofika kimwili na umaarufu....CMG si tishio tena imebaki jina,mdogo mdogo ngoma inachacha ile huku upande wa pili taratiiibuuu unaendelea kukua ngoja tuendelea kusubiri ushuda wa andiko hili.