Kilichopo nyuma ya pazia Wema Sepetu kujiunga na Wasafi

Ruge hajawahi kutikiswa kama hivi..Ruge anapitia magumu sana now
 
Bashite ndiye mastermind wa michezo ya kutekana na kupigana risasi. Afadhali ukose mwana kuliko kumzaa Bashite.
Umenena vema sana Mkuu..

Tatizo naloliona ni moja kubwa..

There's no a single move/mission that has been geared by Bashite ambayo imewahi kufanikiwa..

Iwe nzuri au mbaya, he is the best failure!

Ngoja tuone hii.
 
Umenena vema sana Mkuu..

Tatizo naloliona ni moja kubwa..

There's no a single move/mission that has been geared by Bashite ambayo imewahi kufanikiwa..

Iwe nzuri au mbaya, he is the best failure!

Ngoja tuone hii.

Kuanzia shuleni mpaka maishani.....
 
Zamaradi kweli kitambo sijaona akipiga picha na mumewe..yaani kuwa proud with her hubby..maana ana ndoa
 
natamani watu wangejua kati ya diamond,fella,sallam au tale kuna mmoja ana akili sana tena sana...itoshe tu kusema kumuangusha diamond si kitu kidogo...diamond ni taasisi sio tu msanii wa bongofleva tena ni taasisi inayokua kwa kasi....
Sallam ofcoz
 
Zamaradi kweli kitambo sijaona akipiga picha na mumewe..yaani kuwa proud with her hubby..maana ana ndoa


Sidhani hata haitakaa itokee she is not happy at all nakwamabia............... amebaki kuwapost watoto wa Ruge.. kuna siku alimtolea mtu mmoja povu huko insta baada ya kumwambia so hubby ndio dereva wa watoto kwenda shule na kurudi....... povu lake halikuwa la nchi hii
 
Umejificha nyuma ya keyboard tena na ID fake still unaongea mafumbo, wanaume wa dar mkoje?
 
Kufanya maamuzi kwa akili za kushikiwa
 
Of course, hata nami nam-feel.

Tatizo wengine wanataka ukipenda kitu ndo basi tena ujitie upofu!! Umaarufu wa Zari umepanda maradufu baada ya kukutana na Diamond kuliko ilivyokuwa kabla! Na hata wanamjua sana Zari majority wamemjua baada ya kuanzisha uhusiano na Diamond.

Ni wachache sana waliokuwa kama wewe ambao walim-Follow hata b4 ya Diamond na ndio maana unafahamu graph yake ya umaarufu!
 
Huo ndo ukweli na wengi hawapendi kujua kwa sababu ya mateam yao ya huko instagram
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…