Kilichotokea baada ya kuota Niko shule

Kilichotokea baada ya kuota Niko shule

Famous Gemini

Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
80
Reaction score
162
Sina Maneno Mengi ilaaaa....
Baada Ya Ndoto Ya Kuota Niko Darasani Karibia Kila Siku Kwa Takribani Mwezi Kilichotokea Ni Hasara Kubwa...
Kupoteza Pesa Sehemu Flani Nlipowekeza,Kufeli Kwa Jambo Muhimu Aisee Ni Noma.

Sasa Siku Ya Pili Mfululizo Naota Nachomwa Kisu.

Naogopa Sasa Ndoto za ajabu aisee
 
Kama ni mkristo seti alarm amka usiku saa 8:00 hadi saa 9:00 jiunge na Hallelujah Challenge iko YouTube vunja kazi za shetani. Ndoto nyingi ni kama tunaoneshwa yatakayotokea.....halafu utarudi kutoa ushuhuda hapa hapa
 
Dawa ni maombi, omba Mungu atakutoa kwenye shimo, kama umeokoka mwone mchungaji wako kwa ushauri zaidi.
 
Back
Top Bottom