Kilichotokea Hanang, kikitokea Mwanza itakuwaje?

Kilichotokea Hanang, kikitokea Mwanza itakuwaje?

Ulimwengu wa kupasuka kwa utupu mnaishi nyie atheists. Mungu yupo, uthibitisho ni heartbeats ulizonazo hapo. Hakuna mwanasayansi atakuambia nini hasa kinasababisha moyo udunde na kusukuma damu.
Nimekuambia nioneshe wapi nimesema kuhusu huo ulimwengu wa kuoasuka.

Umeshindwa. Wewe ni muongo na mzushi.

Nakupeleka straight to ignore list.

You have lost your privileges to engage me directly.

Kuanzia hapa sitaona posts zako.
 
Kwamba umuombe Mungu apangue mipango yake?
Maajabu haya
Mpaka umri huo ndio tuseme kweli we hujui kua M/Mungu anapokea dua za waja wake...mfano hata lile jambo la kuomba mvua hujawai skia pia?
 
Mpaka umri huo ndio tuseme kweli we hujui kua M/Mungu anapokea dua za waja wake...mfano hata lile jambo la kuomba mvua hujawai skia pia?
Nyie si mnasemaga ukishazaliwa Mungu anajua hatma yako hadi siku yako ya mwisho itakuaje? Iweje tena uombe apangue
 
Nyie si mnasemaga ukishazaliwa Mungu anajua hatma yako hadi siku yako ya mwisho itakuaje? Iweje tena uombe apangue
Usisikie tu fuatilia kiundani maana ya Dua na kwanini watu wanamuomba M/Mungu ilhali yeye tayari Kisha panga kila kitu,...ingekua hivyo unavyomaanisha kusingekua na haja ya kwenda nyumba za ibada
 
Back
Top Bottom