Nimekuambia nioneshe wapi nimesema kuhusu huo ulimwengu wa kuoasuka.Ulimwengu wa kupasuka kwa utupu mnaishi nyie atheists. Mungu yupo, uthibitisho ni heartbeats ulizonazo hapo. Hakuna mwanasayansi atakuambia nini hasa kinasababisha moyo udunde na kusukuma damu.
Kwamba umuombe Mungu apangue mipango yake?Mipango ya Mungu ni mikali hakuna Cha kujiulizauliza ni kumuomba yeye tu.
Mpaka umri huo ndio tuseme kweli we hujui kua M/Mungu anapokea dua za waja wake...mfano hata lile jambo la kuomba mvua hujawai skia pia?Kwamba umuombe Mungu apangue mipango yake?
Maajabu haya
Nyie si mnasemaga ukishazaliwa Mungu anajua hatma yako hadi siku yako ya mwisho itakuaje? Iweje tena uombe apangueMpaka umri huo ndio tuseme kweli we hujui kua M/Mungu anapokea dua za waja wake...mfano hata lile jambo la kuomba mvua hujawai skia pia?
Usisikie tu fuatilia kiundani maana ya Dua na kwanini watu wanamuomba M/Mungu ilhali yeye tayari Kisha panga kila kitu,...ingekua hivyo unavyomaanisha kusingekua na haja ya kwenda nyumba za ibadaNyie si mnasemaga ukishazaliwa Mungu anajua hatma yako hadi siku yako ya mwisho itakuaje? Iweje tena uombe apangue