Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Walipoanza ilionekana kana kwamba hawa jamaaa ni marafiki sana but mambo yalikuja badilika. Kagame kama Magufuli hana rafiki wala adui wa kudumu.
Kuna sehemu maslahi ya hizi nchi mbili yalipishana. Kagame akaamua kunyamaza maana alishaambiwa Magufuli alikuwa anamlia timing ajichanganye tu. Ndiyo kipindi ambacho Kagame alikuwa anasema Tanzania ina Rais kichaa wakae kwa utulivu kwanza.
Alikumbuka kipindi kile cha Kikwete alivyoongea na response. Akawaza safari hii ingekuwa worse. Akachagua kunyamaza. Urafiki wao ukaisha.
Samia alienda kusawazisha baada ya Magufuli kufariki. Kuondoa tension na majirani zetu hawa. Sasa Kagame ameanza tena kutoa vitisho kwa nchi za ukanda huu kama kawaida yake.