Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

MFALME WETU

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
4,071
Reaction score
10,028
ugonile,

Ntakua wa mwisho kuamini kuwa Aziz Ki kafanya maamuzi ya kufunga ndoa na Hamisa bila kupigwa juju

Wanawake wengi wa kibongo wanatabia kwamba wakipata mchumba au danga lenye vijisenti wanamwendea kwa mganga ili wasiachike, wapo tayari kuwashirikisha hata mama zao ilo suala ili mambo yaende sawa. nakumbuka nmewahi kuwa na demu kutokea mbeya huko alitaka kuniletea huu upuuzi nikagundua mapema nikampiga chini.

Wanawake wa kibongo wakipata jimbo jipya lenye vijisenti au lipo kitengo wapo radhi wakope pesa kikoba wafunge safari na shoga zao kutafuta mganga wa kuweza kuwasaidia kushikilia ilo jimbo pasina kutiliwa shaka wala vikwazo vyovyote.

Wanaume wenzangu tuweni makini sana na hawa dada zetu, kwa ambao mlikua hamjui ayo mambo naisi mmejionea wenyewe kupitia Aziz Ki.

imagine mahari eti fuso mbili za ng`ombe na kama haitoshi akaongeza tena pesa taslim milioni 30, aisee huu ni uchawi wa kiwango cha SGR

STAY ALERT.!
 
Why does it matter to you if Aziz marries Hamisa or not?

You are not the one getting married, so why does it matter to you?

Your family is not paying for this wedding, so why does it matter to you?
 
Back
Top Bottom