ugonile,
Ntakua wa mwisho kuamini kuwa Aziz Ki kafanya maamuzi ya kufunga ndoa na Hamisa bila kupigwa juju
Wanawake wengi wa kibongo wanatabia kwamba wakipata mchumba au danga lenye vijisenti wanamwendea kwa mganga ili wasiachike, wapo tayari kuwashirikisha hata mama zao ilo suala ili mambo yaende sawa. nakumbuka nmewahi kuwa na demu kutokea mbeya huko alitaka kuniletea huu upuuzi nikagundua mapema nikampiga chini.
Wanawake wa kibongo wakipata jimbo jipya lenye vijisenti au lipo kitengo wapo radhi wakope pesa kikoba wafunge safari na shoga zao kutafuta mganga wa kuweza kuwasaidia kushikilia ilo jimbo pasina vikwazo vyovyote.
Wanaume wenzangu tuweni makini sana na hawa dada zetu, kwa ambao mlikua hamjui ayo mambo naisi mmejionea wenyewe kupitia Aziz Ki.
STAY ALERT.!