98% of men will marry women that have been fvkced by other men before.Wazee tulishapita pale. Hamna cha maana
So nothing new there.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
98% of men will marry women that have been fvkced by other men before.Wazee tulishapita pale. Hamna cha maana
Mkuu una ona ni kwanini imewauma ?Mbona watu wamekasirika sana..
Shida ni nini
Kwani Aziz Ki ndio mwanaume mwenye pesa, maarufu au mvuto kati ya exes wa hamisa kiasi kumuoa iwe issue kubwa ?..
Na isitoshe waliofunga ndo wameamua kwa utashi wao na kama kuachana ku po ni sawa pia maana hata sasa mitaani kuna ndoa nyingi sana za futari na Ramadhan ikiisha nazo zitaisha.
Yani hii issue inaonekana imewauma wengi sana kwenye personal level
Bwana wee roho mbaya tuu...wacha aziz akojolee pazuri bwana. Cheki limsambwanda lileMbona watu wamekasirika sana..
Shida ni nini
Kwani Aziz Ki ndio mwanaume mwenye pesa, maarufu au mvuto kati ya exes wa hamisa kiasi kumuoa iwe issue kubwa ?..
Na isitoshe waliofunga ndo wameamua kwa utashi wao na kama kuachana ku po ni sawa pia maana hata sasa mitaani kuna ndoa nyingi sana za futari na Ramadhan ikiisha nazo zitaisha.
Yani hii issue inaonekana imewauma wengi sana kwenye personal level
unaongea kama mtu alokunywa uji wa dengu, wanaume hatupo ivoAziz k alipokelewa vizuri na Hamisa kama ulikuwa hujui ,walikuwa na ukaribu muda mrefu sana kafundishwa mambo mengi .
Hata wakiachana bora wamehalalisha ,wajinga ni wale waliomzalisha na kumtupa kama wangemuoa angetulia tangu kwa Majizzo.
Utapeli unapofanyika hadharani huwezi kuwazuia watu kujadili.Mbona watu wamekasirika sana..
Shida ni nini
Kwani Aziz Ki ndio mwanaume mwenye pesa, maarufu au mvuto kati ya exes wa hamisa kiasi kumuoa iwe issue kubwa ?..
Na isitoshe waliofunga ndo wameamua kwa utashi wao na kama kuachana ku po ni sawa pia maana hata sasa mitaani kuna ndoa nyingi sana za futari na Ramadhan ikiisha nazo zitaisha.
Yani hii issue inaonekana imewauma wengi sana kwenye personal level
Hata mwanamke aliyezaa nae ni mzuri Tu. Lakini pia hamisa ni maarufu sana ila haimaanishi kuwa ndiye mwanamke mrembo kuliko wote na si ajabu ukimpitisha kwenye classic whores anaweza kuonekana wa kawaida tu.Si ajabu Azizi Ki hajawahi kua na pisi kali namna ile.
Wewe itabidi ukalowee kwa wanyiramba kama hamisa ndio type zako🤣🤣Bwana wee roho mbaya tuu...wacha aziz akojolee pazuri bwana. Cheki limsambwanda lile
Wewe unasumbuliwa na ushamba, Hamisa ni maarufu tu.Bwana wee roho mbaya tuu...wacha aziz akojolee pazuri bwana. Cheki limsambwanda lile
Wewe si ulikuwa unamtetea?Hamisa alifumwa kwa mganga akimloga Diamond ili amuoe.
Uzuri alipoulizwa alikubali kua alienda kweli kufanya ndumba.
Ndio mzeya kwani wee huoni totoz nzuri kabisa hiyoMali safi?
Kwani unadhani sijui Azizi kaingia cha kike🤣Wewe si ulikuwa unamtetea?
Ah sasa kwa nini asiloge jamani wakati diamond mihela ipo. Wacha aloge tuuHamisa alifumwa kwa mganga akimloga Diamond ili amuoe.
Uzuri alipoulizwa alikubali kua alienda kweli kufanya ndumba.
Kila mtu kaona kitu kwa mwenzake, sidhani kama Azizi atakua hajui background ya mwenzie pamoja na tech yote hii.Hata mwanamke aliyezaa nae ni mzuri Tu. Lakini pia hamisa ni maarufu sana ila haimaanishi kuwa ndiye mwanamke mrembo kuliko wote na si ajabu ukimpitisha kwenye classic whores anaweza kuonekana wa kawaida tu.
Yawezekana Aziz Ki amefanya kosa au la hamisa pia kafanya kosa kuolewa pia. Kwa hiyo sio mbaya kama watajiufunza wakiachana na wakafaana kama kheri itakuwa upande wao
Huyo aziz katulia pazuri kabisa....anakula msambwanda wa maana kabisaKwani unadhani sijui Azizi kaingia cha kike🤣
Utapeli unapofanyika hadharani huwezi kuwazuia watu kujadili.
Hiyo mahari tu ya Hamisa tayari ni utapeli mtupu.
Mama wa watoto wawili utowe mahari ya ng'ombe 30 na pesa kibao?
Mzee wa mbususu nakukubali sana kwa kuhusudu tako. Ila ukweli dogo pale dogo kaingia chaka ile mbususu ni mali ya umma, subiri Yanga wamuuze uone kama hamisa ataenda misri.Hajarogwa bwana yeye kapenda tako lile...mobeto mzuri nyie achine kwanza ukimvua kyupi yule unaweza anza kupiga sala kushukuru bahati ya kukojolea pale.
Aziz baba wee kula mali safi hiyo maisha ndio haya haya