Kilichotokea leo Ubungo Simu2000 kiwaamshe viongozi kuhusu wasomi wengi kuwa wafanyabiashara ndogondogo. Nyakati zimebadilika

Matongee

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
1,056
Reaction score
2,729
Your browser is not able to display this video.

Viongozi wenye viburi kama DC wa Ubungo, Hassan Bomboko waamue kubadilika au wapigwe chini na mteuzi wao kwa maslahi mapana ya Taifa. Nyakati sio rafiki.

Wafanyabiashara ndogondogo kwa sasa ni wasomi wenye degree na hawataweza kuvumilia upuuzi wowote kutoka kwa viongozi wasiojitambua. Wamachinga wa leo wako mbele sana ya muda.

Hii video ni ya mfanyabiashara aliyetema facts tupu mbele ya RC. Chama chenye tuhuma za kutafuna michango ya wanachama wake kimemtaja kuwa ni mwanachama wake.

PIA SOMA
- Machinga wa Soko la Simu2000, Dar es Salaam wagoma na kufunga barabara asubuhi ya leo, Julai 8, 2024
 
Nilichopenda maandamano hayakua na fujo kama kwa jiran zetu.

Na jinsi walivokubal kutulia baada ya mkuu wa mkoa kuwasikiliza
 
kama kumbukumbuku zangu zipo sawa basi huyu nilipiga nae pale IFM japo alikuwa nyuma yangu mwaka mmoja...
The more wasomi wanaongezeka mitaani ndivyo jamii inazidi kuamka, soon tutakuwa na kizazi kinachohoji, kisicho danganyika kirahisi

Jamaa kaongea facts tupu alafu anajua mambo...Ujinga ambao n mtaji wa wanasiasa apo umegonga mwamba
jamaa kasoma kasoma IFM huyo kama kumbukumbuku zangu zipo sawa, na alikuwa akihisiwa ni wa kijitonyama pale
 
Nategemea baada miaka 10 mpaka 20 tanzania katika kundi la vijana 10 tuwe na watu wa5 wasomi wa aina hii wanayoitendea HAKI ELIMU Yao kwa vitendo na sio kukaa kusubiri ajira tu pekee serikani au sector BINAFSI
Huyu MMOJA amewabeba wenzake kwa namna ya ufahamu mkubwa wa manzingira ya BIASHARA zao zinazowazunguka na Ufanisi wa maneno na upangiliaji mnzuri wa hoja
Hongera sana kwake
Kama mpo karibu nae mwambieni kamwe asijaribu kujiunga CCM mana ukienda huko UBONGO unauacha nyumbani kwako mavi yanawekwa katika kichwa chako
 
Nchi hii haina mipango kabisa
Dili dili tu,katakana ya dart uda ilikuwa kurasini pale wamempa galco...hao wakina GSM
Haya pale stendi ya mkoa zamani
Dart ndiyo ilikuwa wafanye katakana wamewapa wachina
😄 sahv wanataka kusukuma wafanyabiashara hapo sim200
Wawatoe...

Ova
 
kama kumbukumbuku zangu zipo sawa basi huyu nilipiga nae pale IFM japo alikuwa nyuma yangu mwaka mmoja...



jamaa kasoma kasoma IFM huyo kama kumbukumbuku zangu zipo sawa, na alikuwa akihisiwa ni wa kijitonyama pale


Chuo alifukuzwa. Hakumaliza. Ni kada wa CHADEMA. Kawekwa ndani mara kadhaa. Ni mfuasi mtiifu Kwa Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…