Viongozi wenye viburi kama DC wa Ubungo, Hassan Bomboko waamue kubadilika au wapigwe chini na mteuzi wao kwa maslahi mapana ya Taifa. Nyakati sio rafiki.
Wafanyabiashara ndogondogo kwa sasa ni wasomi wenye degree na hawataweza kuvumilia upuuzi wowote kutoka kwa viongozi wasiojitambua. Wamachinga wa leo wako mbele sana ya muda.
Hii video ni ya mfanyabiashara aliyetema facts tupu mbele ya RC. Chama chenye tuhuma za kutafuna michango ya wanachama wake kimemtaja kuwa ni mwanachama wake.
PIA SOMA
- Machinga wa Soko la Simu2000, Dar es Salaam wagoma na kufunga barabara asubuhi ya leo, Julai 8, 2024