Naunga mkono. Polisi si sehemu ya kutafuta haki yako bali ni sehemu ya kukamuliwa pesa.Kisingizio kikubwa huwa ni kudhibiti uhalifu kwa kisingizio cha kupambana na wahalifu wasiotii bila shuruti.
Utasikia alikuwa ni mhalifu na hata ndugu wasio na uwezo wakifuatilia matukio ya ndugu zao kupoteza maisha au kuumia wakiwa mikononi mwa polisi huwa hawapati ushirikiano wowote.
Namna ya jeshi la polisi lilipofikia kwa sasa na malamiko dhidi ya uonevu unaofanywa na polisi dhidi ya raia ni wazi kuwa sasa ni wakati wa kufanya mabadiliko makubwa.
Wananchi tufanye nini sasa?Hayo mabadiliko yaanzie kwa nani? wanasiasa NO.
Mabadiliko ya kweli yataanzia kwetu wananchi, tuondoe udhalimu wote uliotuzunguka polisi ni sehemu tu ya udhalimu wenyewe, lakini wanasiasa wenye uchu wa madaraka wasiokubali kushindwa ndio dhalimu namba moja.
"askari mwenye kiapo anawezaje kupora hela halali za mwananchi na kisha kumuua,hawa bado tunawaita walinda usalama"Kisingizio kikubwa huwa ni kudhibiti uhalifu kwa kisingizio cha kupambana na wahalifu wasiotii bila shuruti.