the bridge224
Member
- Sep 9, 2024
- 26
- 41
Ushahidi wa hicho kiwanda ukwapi na kwakawaida nchi nzima ya Iran ina underground storage ya missiles hawategemei upungufu wa makombola wakati hawana vita brother Mimi mwenyewe nilikuwa muhanga wa kuamini Israel ni invisible Russia ni invisible kumbe kwasasa unachapika no matter wewe nani hakuna cha super powers zama hizi za drones warfareKatika watu ambao hawahangaiki na udini basi mimi nimo, Israel imepiga kiwanda cha makombora cha Iran, hii ndio sababu ya Iran kushindwa kusaidia marafiki zake