Kilichotokea Uwanja wa Taifa, Ndicho kimemuokoa Ney wa Mitego.

Nasikia sio kuachiwa tu.......Nay ameitwa Ikulu na mheshimiwa, sijui anaenda kuambiwa nini?
ms nsingeeenda. majaribu hayo. mtu nshamtukana ananiita nikamwone heeeee
 
Times are a changing, wakati mwengine bana, wasaanii wanawaimbisha mawaziri wa Magu Bashite .....wapo
 
Reactions: SDG
Nasikia sio kuachiwa tu.......Nay ameitwa Ikulu na mheshimiwa, sijui anaenda kuambiwa nini?
Keshatangaza kwamba Bashite ameonesha vyeti vyake na kwamba hilo ni pigo kwa Mange et al na yakwamba bwana mkubwa katamba kwamba yeye hateuagi vilaza! Ni eti lakini eti.
 
Keshatangaza kwamba Bashite ameonesha vyeti vyake na kwamba hilo ni pigo kwa Mange et al na yakwamba bwana mkubwa katamba kwamba yeye hateuagi vilaza! Ni eti lakini eti.
Nani ktangaza wewe acha kuota vitu vya kijinga
 
Kaitwa mjengoni akaulizwe kale kamstali ulikosema wapo walipoteza malinda WAPOOOO.. ndio nn hayo malinda na ninani aliyepoteza malinda .?
 
Aaaaa kwani hua anasikiliza wananchi wanataka nini???
Eti ameipenda nyimbo hivi ameisikiliza mpaka mwisho kweli?
 
Heee eti ' Kashangiliwa nape Ingawa ni CCM' hivi unadhani Watu wanaoenda kwenye michezo ni Upinzani tu?' Hivi mtarudishiwa lini akili zenu jamani mbona mnatuchosha?!?!?
 
Ingawa alijiuzia mgodi...hakuna Rais bora kama Mkapa.
 
Mi bado sinaimani na magufuli. Nimepiga kura Mara tatu nikiipitisha ccm japo sina kadi ya chama chochote lkn awamuhii nahisi raisi anaona hata mimi sifai sistahili. maana nguvu inayotumika imeumiza familia nyingi. ila mungu atatulinda mungu ni mlezi
 
Heee eti ' Kashangiliwa nape Ingawa ni CCM' hivi unadhani Watu wanaoenda kwenye michezo ni Upinzani tu?' Hivi mtarudishiwa lini akili zenu jamani mbona mnatuchosha?!?!?
Vyama vyote nimali yetu achana nae hajuikitu.
 
Ingawa alijiuzia mgodi...hakuna Rais bora kama Mkapa.
Hakupata changamoto Kama wenzake hizi ni zama nyingine mkuu) Kikwete anahutubu wabunge wanazomea) alikua baba wa wa Tanzanian wote sio baba bashite
 
na bado watazomewa sana maana wanajifanya miungu watu, kuna mmoja ati mungu wa DSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…