Elections 2010 Kilichotokea Zanzibar - (Kutoka chanzo makini)

Elections 2010 Kilichotokea Zanzibar - (Kutoka chanzo makini)

Wacha hao cuf wakione, hao si ndo sisiem namba 2 huku bara na kikwazo cha maendeleo na mabadiliko kwa kujinafikisha kwa ccm? Ila nawasikitikia wananchi wa Zanzibar ambao walidhamiria kufanya mabadiliko kwa nguvu zote mwaka huu.

Lakini 2015 sio mbali, sisiem, Cuf na vipandikizi vyao kina Lyatonga watasoma namba huku bara.
 
Kwani hujui kuwa ccm na cuf upande wa zanzibar wameunganisha vyama na kuwa chama kimoja! yaleyale ta tanu na asp, safari hii ni ccm na cuf. kwa sasa zanzibar kuna mfumo mmoja tu wa siasa, hakuna mfumo wa vyama vingi. Kuanzia mwaka 2015 watakuwa wanapiga kura ya ndio au hapana.
 
Nimekupata Mkuu Sikonge.

Ngoja na mimi niwape nikijuacho kwa uduchu.

Hapa tunapambana na jitu ka kale lenye umri mkuu na miguvu. Hatupambani na CCM bali Tunapambana na Ibilisi mwenyewe kutoka kuzimu ambaye kila dakika ipitayo hasira zake zinaongezeka.

Ibilisi siku zote ni lazima atawale kwa nguvu kinyume na hiari ya wengi.
Haogopi kuuwa ili kutimiza matakwa yake ya kudumisha utawala wake.

Hii ndiyo asili ya watu wengi ndani na nje ya serikali kuwa na Hofu kuu wakiogopa kitu fulani wasichoweza kukisema.

Wengi wanadhani watu wanawaogopa UWT, UWT ni watoto wadogo sana kwenye hizi duli au niseme wanjikomba tu kwenye so zima.

Fikiria tu,Hivi CCM wangethubutu kumvuna Roho kama Mbawala Bosi Mstaafu wa Mishushu yote Tanzania pale Moshi??

Bosi yule aliingia mkataba na Ibilisi baada ya kupata alichotaka, Mali ,alifikiri angweza kumpa kisogo Ibilisi na kufanya atakavyo. Ibilisi atakupa mali na mamraka yote duniani lakini roho yako ni mali yake. Hivyo Ibilisi hakusita kumkausha ili iwe mfano kwa wote wajifanyao kumchezea.

Watu wenye upeo wao mkuu akina Mkapa mnawaona wajikanyaga ovyo kila wakitoa hotuba zilizo andikwa kuzimu, hawana ujanja wa kufanya lolote kwa niaba yao hata wake zao. Kama hawagusi anga zake Ibilisi siku zote watadumu katika ufalme wake katika furaha yenye ukomo.

Kuna mkataba wa siri ya wazi kati ya Ibilisi na CCM.

Mtu wa kwanza wa CCM akija kukutia mcheche ukubali matokeo ukikataa anaondoka,mwingine atakuja vivyo hivyo wa mwisho atakutaka ukubali matokeo pia ukikataa atakupa 101 na Ibilisi mwenyewe, hapo ndipo neema na Upendo wa Mungu upitao Hekima za wanadamu wote huhitajika.

Kwa mtu dhaifu uliye jaza Hirizi kila pembe ya shati na kikoi chako ni lazima uanguke mbelle ya Bwana mkubwa huyu wa Giza na kusujudi manyoya na kwato za miguu yake.

Lakini kama hujanasa katika moja ya mitego yake itamanishayo katika kila pembe ya dunia kamwe huwezi kumwangukia Jitu huyu wa kale, atanguruma kwa hasira kama radi za masika hatimaye kama paka mwizi kuyoyoma uvunguni mwa Abbys.

Maalimu amepigwa 101 na Ibilisi mpakamwenyewe amesujudu.

Wenzetu wa CUF wanadhani umoja chini ya Imani ya dini utawasaidia, ndiyo kuna kaukweli fulani ukiangalia maeneo kadhaa ya nchi wamepata kura nyingi sana.Lakini kwa tathmini nzito kabisa hakuna kundi la udini liwe la Kiksrito au la Kiislamu liwezalo kushinda na kushika Dola Tanzania kwa kutumia Imani yake.
Viongozi wote wa vyama vya upinzani wanajua hilo CCM pia wanajua udhaifu huo na wanautumia kama mtaji namba moja wa kuwapunguza kasi wapinzani.Wote tunajua Nunda wetu ni CCM kuna haja gani ya kutumia air Time tuipatayo kwa Nadra kuvent shutma dhidi ya mgombea aliye nje ya Utawala kama sisi!!?

Naweza kutabiri kama Shemazi Yohana kwamba CCM watakuwa na wabunge wachache sana kiasi cha kushindwa kusimama kwa miguu yao. Bila aibu CUF wakiingiia Bungeni Safari hii wataunda serikali ya Mseto na CCM ili kuongeza nguvu ya CCM na kuwafanya waunde tena serikali ya pamoja yenye uvunda wote wa CCM.

CUF Watashangaa pale CCM watakapo uza sehemu ya ardhi ya Zanzibar kwa Maghaidi wa Ughaibhuni ili itumike kuendelea kunajisi nchi nyingine Duniani. Mimi naongea tu kama Mtabiri Mbuzi Shemazi Yohana.

Ibilisi ni Extraterestral Being ambaye anawezaishi katika Dimension moja na sisi kwa kujichanganya na kijichomeka ndani ya nafsi zetu wanadamu.Lakini pia Ibilisi anapatika 24/7 katika Dimension nyingine ambayo ni Pure Energy Dimension.Dimension ambayo hakuna Kiwiliwili wala Mada kuna kuwako tu.
 
Kama ilivyokuwa katika chaguzi tatu zilizopita, katika uchaguzi huu CUF ilikuwa imeshinda. Habari zinasema kuwa Maalim Seif alikuwa amepata 54%. Wapenzi wa CUF kama kawaida yao walianza kushangilia, wakajazana katika Hotel ya Bwawani kuishinikiza ZEC itangaze matokeo.

Habari kutoka wapi?
 
Hii imekaa safi saaaaaana.

Wakati sisi Bara tunapigana na CCM, wenzetu mko busy saaana mkiisaidia. Kama si CUF, Chadema wangelishinda Kigoma majimbo mengi sana.

Kama Lipumba na CUF wangelitoa msaada kwa Slaa na kutupa mgombea mwenza wa maana, mambo yangelikuwa mengine kabisa sasa hivi. Sasa wote tumeingizwa Jando na CCM. Ila nyie lenu ndiyo baya zaidi maana ni lile la Kimasai, bila ganzi na mbele ya wanawake na unalazimishwa USILIE maana wewe ni Mwanaume (ehh, Mapanga shashasha).

Cha ajabu hata mwaka 2015, bado mtataka kuisaliti Chadema na kujifanya mko karibu na CCM na CCM bila hiyana wataendelea kuwa-do. Mwiba na kundi lako kumshambulia Dr Slaa kiko wapi sasa? Kimekula kwenu. Mlijifanya mnawaamini sana CCM, ona sasa. Mmekuwa kama Manyumbu mnaita Fisi awe Mkunga wenu, kaaazi kwelikweli.

Maadamu Lisu, Sugu, Wenje, Mbowe, Zitto, Mnyika wanaingia bungeni, ngoja ninywe Gongo langu hapa Sikonge.

To hell all of you, bila kujali wewe ni CUF, CCM, Chadema au sijui nani.

Mwakani MOTO utawaka pale DODOMA na Dom patakuwa hapatoshi.

Ahhhh, dada yangu Halima Mdee, mwaka 2015 tunaweza kuwa wote Dodoma nikiwakilisha Sikonge na kuwa mbunge wa kwanza wa Upinzani wa Mkoa wa Tabora. Ila leo, All of you u can go to hell, gongo langu uko wapi? Nyama Pori kwa wingi hapa nikisherehekea. Kesho nikiamka, naanza vita na waliochakachua matokeo ya SLAA. SLAA wewe ni Rais wangu bila kujali matokeo.

LALI MPOLA nawaambia wote.
Sikonge hutakuwa wa kwanza. Wa kwanza ni Dk Msina wa NCCR_Mageuzi mwaka 1995 naambiwa Igalula imechukuliwa na CHADEMA mwaka huu
 
Mbalinga, nataka nikuite uwe mwandishi wa hadithi kwenye gazeti letu. je uko tayari?

Naamini utasaidia sana kuaminisha watu uongo kama ilivyokuwa kwa Musiba na vuitabu vya Willy gamba. Mm wakati mdogo niliamini na nikaamua kufanya kama nilivyosoma ambapo matokeo yake yalikuwa mabaya sana. hapa nilipo nina bonge la kilema cha pua.
 
inatisha kweli hii ndio Tanzania nchi yenye amani, Nami nimeongea na mtu wa Zanzibar aliniambia nyie Bara ndio mnatutawala nikdhibitisha na akanieleza vivyo hivyo

Mungu ibariki Tanzania
 
ivi jamani kwa fikra zenu munaamini CCM wanaweza kuachiya ngazi? naona kama muna ota mchana katika jambo ambalo nyerere amafanikiwa ni kuipecheza CCM kila kona Usalama wa Taifa ni CCM Jeshi ni CCm Polisi ni CCm JKT ni CCM NEC tume ya Uchaguzi ni CCm Kanisa ni CCM ivi kweli kunauwezekano wa kushindwa CCM?
 
Kuna uwezekano mkubwa kuwa maalim alishinda! Lakn muafaka si kama ULIVYOUELEZA! Ni kweli Maalim kauza ushindi, si kwamba kapokwa!:A S angry:
 
Hii imekaa safi saaaaaana.

Wakati sisi Bara tunapigana na CCM, wenzetu mko busy saaana mkiisaidia. Kama si CUF, Chadema wangelishinda Kigoma majimbo mengi sana.

Kama Lipumba na CUF wangelitoa msaada kwa Slaa na kutupa mgombea mwenza wa maana, mambo yangelikuwa mengine kabisa sasa hivi. Sasa wote tumeingizwa Jando na CCM. Ila nyie lenu ndiyo baya zaidi maana ni lile la Kimasai, bila ganzi na mbele ya wanawake na unalazimishwa USILIE maana wewe ni Mwanaume (ehh, Mapanga shashasha).

Cha ajabu hata mwaka 2015, bado mtataka kuisaliti Chadema na kujifanya mko karibu na CCM na CCM bila hiyana wataendelea kuwa-do. Mwiba na kundi lako kumshambulia Dr Slaa kiko wapi sasa? Kimekula kwenu. Mlijifanya mnawaamini sana CCM, ona sasa. Mmekuwa kama Manyumbu mnaita Fisi awe Mkunga wenu, kaaazi kwelikweli.

Maadamu Lisu, Sugu, Wenje, Mbowe, Zitto, Mnyika wanaingia bungeni, ngoja ninywe Gongo langu hapa Sikonge.

To hell all of you, bila kujali wewe ni CUF, CCM, Chadema au sijui nani.

Mwakani MOTO utawaka pale DODOMA na Dom patakuwa hapatoshi.

Ahhhh, dada yangu Halima Mdee, mwaka 2015 tunaweza kuwa wote Dodoma nikiwakilisha Sikonge na kuwa mbunge wa kwanza wa Upinzani wa Mkoa wa Tabora. Ila leo, All of you u can go to hell, gongo langu uko wapi? Nyama Pori kwa wingi hapa nikisherehekea. Kesho nikiamka, naanza vita na waliochakachua matokeo ya SLAA. SLAA wewe ni Rais wangu bila kujali matokeo.

LALI MPOLA nawaambia wote.

Bora uendelee na safari ya kwenye banda la gongo. Maana yote uliyoyaandika ni yamekaa kigongogongo tu!
 
Kama ilivyokuwa katika chaguzi tatu zilizopita, katika uchaguzi huu CUF ilikuwa imeshinda. Habari zinasema kuwa Maalim Seif alikuwa amepata 54%. Wapenzi wa CUF kama kawaida yao walianza kushangilia, wakajazana katika Hotel ya Bwawani kuishinikiza ZEC itangaze matokeo.

Kabla ya hapo baada ya ccm bara kupata taarifa hizo wakaona haiwezekani, ni lazima ccm itangazwe mshindi. Wanasema kamwe hawawezi kufanya kazi na CUF, kwanza sera zao ni tofauti, wakati cuf inataka serikali 3, ccm wanataka status qou.

Akatumwa mzee Mkapa kujaribu kushinikiza mambo, lakini ikawa ngumu, kwani tayari cuf wanajua wameshinda na jaribio lolote litakuwa kinyume na maridhiano. Mzee Mkapa akashindwa, akaomba msaada, ndipo alipotumwa mzee Mwinyi, kujaribu kuwalazimisha ZEC watangaze ccm mshindi, jamaa wakagoma, wakisema hawataki tena vurugu na mauaji, tuheshimu maamuzi ya wananchi. Mzee Ruksa akarudi Dar haraka kutoa taarifa, bado bara wakakataa, ni lazima ccm ishinde, mzee akaambiwa arudi tena ajaribu kuwasihi, akashindwa.

Sasa akaenda JK mwenyewe, yeye hakuwa na mjadala, akawaambia Karume na wenzake kuwa CCM ni lazima itangazwe washindi kama hamtaki Bara inaichukua Zanzibar kijeshi na kufuta baraza la mapinduzi na serikali yake, na kutangaza kuwa hakuna tena serikali ya Zanzibar. Akaitwa Maalim Seif akatishwa na kuambiwa dhahama inayoijia Zanzibar, na hakuna njia isipokuwa kukubali na kumpongeza Dr Shein. Akaambiwa aende kuwatawanyisha wafuasi wa cuf ambao sasa uvumilivu ulikuwa umewaishia na walitaka kuvamia ukumbi ili kujua kulikoni. Kwa busara Maalim Seif akawasihi watawanyike na waende nyumbani. HAPO NJAMA ZA KUCHAKACHUA ZIKAWA ZIMETIMIA.

Amini usiamini Wazanzibari hawana furaha si cuf wala ccm, wanajiuliza kumbe wazanzbari hawana sauti na wabara ndio wanawatawala nyuma ya pazia?

Hiyo ndiyo habari. Zanzibar wamemaliza sasa wanakamilisha uchakachuaji huku bara, na jinsi mambo yalivyo wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Huwezi kuwarejesha nyuma WAZANZIBARI na hadithi zako za PUKWA PAKAWA

kama umelala amka ukaangalie viongozi wapya wa Zanzibar wanaapishwa uwanja wa Aman.
 
Hii imekaa safi saaaaaana.

Wakati sisi Bara tunapigana na CCM, wenzetu mko busy saaana mkiisaidia. Kama si CUF, Chadema wangelishinda Kigoma majimbo mengi sana.

Kama Lipumba na CUF wangelitoa msaada kwa Slaa na kutupa mgombea mwenza wa maana, mambo yangelikuwa mengine kabisa sasa hivi. Sasa wote tumeingizwa Jando na CCM. Ila nyie lenu ndiyo baya zaidi maana ni lile la Kimasai, bila ganzi na mbele ya wanawake na unalazimishwa USILIE maana wewe ni Mwanaume (ehh, Mapanga shashasha).

Cha ajabu hata mwaka 2015, bado mtataka kuisaliti Chadema na kujifanya mko karibu na CCM na CCM bila hiyana wataendelea kuwa-do. Mwiba na kundi lako kumshambulia Dr Slaa kiko wapi sasa? Kimekula kwenu. Mlijifanya mnawaamini sana CCM, ona sasa. Mmekuwa kama Manyumbu mnaita Fisi awe Mkunga wenu, kaaazi kwelikweli.

Maadamu Lisu, Sugu, Wenje, Mbowe, Zitto, Mnyika wanaingia bungeni, ngoja ninywe Gongo langu hapa Sikonge.

To hell all of you, bila kujali wewe ni CUF, CCM, Chadema au sijui nani.

Mwakani MOTO utawaka pale DODOMA na Dom patakuwa hapatoshi.

Ahhhh, dada yangu Halima Mdee, mwaka 2015 tunaweza kuwa wote Dodoma nikiwakilisha Sikonge na kuwa mbunge wa kwanza wa Upinzani wa Mkoa wa Tabora. Ila leo, All of you u can go to hell, gongo langu uko wapi? Nyama Pori kwa wingi hapa nikisherehekea. Kesho nikiamka, naanza vita na waliochakachua matokeo ya SLAA. SLAA wewe ni Rais wangu bila kujali matokeo.

LALI MPOLA nawaambia wote.

safi kaka nami naanza rasmi kampeni za nyumba kwa nyumba soon, lengo ni kwenda kuchukua jimbo la moshi vijijini 2015!!
 
Katiba ya sasa ya Zanzibar (iliyobadilishwa baada ya matokeo ya referendum ya july 2010) inasema mshindi wa pili ktk uchaguzi wa Rais wa Zanzibar anakuwa makamu wa kwanza wa Rais, na chama kilichoshinda kinatoa makamu wa pili wa Rais (zamani waziri kiongozi). Hivyo maalim Seif ni Makamu wa Kwanza wa Rais tayari.
 
uongo njoo utamu kolea eh. angalia tu usije kuwa mamluki wa kufitinisha watu.
 
Cuf na ccm wana deal la kuidhoofisha Chadema wanafanya kwenye urais ccm iongoze na cuf wawe wapili chadema wapate nafasi ya tatu then wananchi wapunguze imani kwa chadema we have to be care men! That's true kuna e-mail nimezinasa kati ya Januari makamba na msemaji wa nje wa cuf zinaashiria hayo.[/SIZE

Nakubariana na maoni yako mia kwa mia
 
Back
Top Bottom