Hatuna shida sana matokeo tuliyopata maana yote aliyoyasema Abdi banda yametimia. ila kilichotukera sana sisi ni vile vitochi vyenu vya kitoto mlivyokuwa mkivielekeza kwa golikipa wetu muda wote.