3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
vile vitochi walikuwa wanamulika mashabiki wa utoMimi ni shabiki wa simba ila vile vitochi huwa vinanikera sana napoviona,kwanza havisaidii chochote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vile vitochi walikuwa wanamulika mashabiki wa utoMimi ni shabiki wa simba ila vile vitochi huwa vinanikera sana napoviona,kwanza havisaidii chochote
wakati anamwaga uno mwambie pia awe anaikalia kidogo
Unateseka ukiwa wapi we msukule?Hatuna shida sana matokeo tuliyopata maana yote aliyoyasema Abdi banda yametimia. ila kilichotukera sana sisi ni vile vitochi vyenu vya kitoto mlivyokuwa mkivielekeza kwa golikipa wetu muda wote.
Karibuni South Africa.
Mnakera Sana nyie misukule.Hatuna shida sana matokeo tuliyopata maana yote aliyoyasema Abdi banda yametimia. ila kilichotukera sana sisi ni vile vitochi vyenu vya kitoto mlivyokuwa mkivielekeza kwa golikipa wetu muda wote.
Karibuni South Africa.