Kilichotutokea jana Bambalaga - Dodoma

Kilichotutokea jana Bambalaga - Dodoma

Huyo jamaa mimi nimemshauri aning'inize hata ufunguo wa chumba chake au fekoni aache wivu
Kigari chenyewe mkopo toyota kina miaka zaidi 25 dah wabongo bado unaona una gari au garbage???shit kuwa mzima kushika kijifunguo choka na kujivimbisha ulimbukeni na ushamba
 
aaache ushamba tangu lini changudoa anapigwa denda[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona mnaichukia Bambaga kwa ajili ya Malaya wanaonunua na wanaojiuza, mwenye Bar anahusikaje mpaka muiombee Ife?
Waswanu ndipo tukimaliza tunahamia Bambaga sehemu waheshimiwa hawafiki Bali wapambe na madereva
Uwezo wa bei za bia Rainbow, Club 84 Dodoma hotel hatuna acheni tunywe Bei ya serikali Bambaga na waswanu zisife
Wafanyakazi wao wache ujinga kwanza
 
Hata pestana haikufa,aliamua tu kuifunga maana ilipoteza sifa ya kua pestana kwa sbb vijana wa chuo walikua wanafurika,expectation yake ni lounge iwe classic ya watu fulani maalum,ikapoteza target ya expectation akaifunga tunaskia anafanya maboresho ili iwe ya watu flan sio wanafunzi wa chuo tena…ndo maana hata sasa pale bambalaga wanazuia wakikuhisi wewe ni kijana wa chuo..
Shida ni hela au chuo? Kwani elimu ina mwisho?
 
Pale miyeyusho sana......pia mnaolipa bill kwa card za bank kuweni makini ukilewa wanakuongezea bill. Sisi tulipewa bill ya 198,000 lakini kwenda kulipa alienda mshikaji kulipa kwa card wakakata 1,980,000......mabaunsa wanashirikiana na madada poa kufanyia uharifu wateja pale
 
Kigari chenyewe mkopo toyota kina miaka zaidi 25 dah wabongo bado unaona una gari au garbage???shit kuwa mzima kushika kijifunguo choka na kujivimbisha ulimbukeni na ushamba
Hata liwe la mwaka 79 ni langu na mkopo nalipa mwenyewe. Nina AC, mziki mzuri, suspension safi sichafuki na vumbi wala siteseki na jua. Hayo ya kuniona mshamba na limbukeni yapo kichwani kwako. Mtu ahukumiwe kama kuna sheria amevunja sio hisia za ushamba sijui ulimbukeni
 
Mikweche umasikini usivimbe basi na mkokoten usiyo hadhi ya kuitwa gari mkuu pole icho chenyewe mafuta shida
 
Malaya hanyonywi nyonyo au sehemu za Siri, ukiwa malaya inabidi uwe smart mtajageuzwa na madildo yakiume ooh. Malaya wengi hujipaka madawa kwenye nyonyo zao shtukeni
Lol
 
Inaonekana wazi kabisa uliofanyiwa hili tukio ni wew unaogopa tu kuweka wazi na jinsi ulivyo kiazi unamla malaya Denda ..... What a shame[emoji34]
 
Tukiwa tunapta vinywaji tukiwa na jamaa zangu, mmoja wetu alimtaka demu mmoja mbaye inaonekana alikuwa muuzaji wa K, jamaa alimwimbisha demu akakubali akajumuika na sisi.

Yule demu alikuwa anafanya movement ambazo nizitilia shaka, mara kadhaa alikuwa anaenda kuongea na mabaunsa sikujua walikuwa wanaongea nini lakini niligundua aliakuwa wanafanya mipango ya kumdhuru jaama ya yetu, alimchukuwa jamaa na kwenda kwenye parking ili huku yule demu akiwa ameshika chupa yake (ya huyu binti), Binafsi kwakuwa nilishamtilia shaka na mimi nikanyanyuka bila wao kujua nikawa nawafutilia, Basi yule demu akaanza kumpa yule jamaa denda, huku akitomasa mshikaji.

Bada ya dk kama 5 hivi nikaona jamaa yupo hoi kalegea balaa demu akawa kamuacha wakaja jamaa wawili mmoja ni dogo mmoja mweusi hivi alikuwa anaangalia watu ikiwa walikuwa wanapata huduma na mwingine ni muhudumu wa kiume mweupe hivi. Walianza kumpapasa jamaa wachukuwe simu na wallet ilibidi nishitue oya mbona unataka kumubia mshikaji, wakaanza kuwa na hofu, ahaaa kalewa tunataka tumsaidie mara ooh hajalipa bili alitaka kukimbia, ikawa mzozo balaa.

Huwezi amini mabaunsa walikuja wakamkomalia jamaa alitaka kuondoka bila kulipa bili, chap wakaandika karatasi ya bili 48,000, wakati bili hiyo tuliilipa mapema kabisa.

Kwakuwa jamaa walikuwa wamejipanga ikabidi tu nilipe tena kwa niaba ya jamaa ili kumnusuru maana niliona jamaa wamedhamiria.

Ikibidi tuondoke ila jamaa akawa hajitambui, mchana huu ndiyo anapata nafuu.

Inaonekana wale wadada poa wanashirikiana na wafanyakazi wa pale kuwawekea wateja madawa ya kulevya

Kwa hiyo ndugu zangu mkienda pale muwe na taadhari sana.
Wewe ni aina ya mshikaji asiye na maana kabisa. Yaani umefuatilia mshikaji na demu kupata umbea na haukuwa na msaada wowote?
Ungekausha tu bro. Wewe ni mtu wa ovyo sana.
 
Poa mkuu maisha yanaendelea karibu supu hapa Waswanu na semina ya wiki 2
 
Pombe ulinunuliwa na bado ukaacha mshikaji akalipia mara ya pili. Huwezi kuwa nauwezo wa kununua supu. I bet!
 
kweli tunatofautiana unaenda bar unalewa unataka Malaya ofisini kwako hawapo !
 
[emoji1][emoji1][emoji1], kuna ujinga jinga mwingi sana hapo. Ubishoo wa kipuzi puzi mwingi sana hapo.

Halafu vijamaa na vi-crown, athletes, ist, subaru, alteza, premio, fuga, alphard, voltz, noah, brevis, rumnio na jamii nyingine za baby walker wanajazana humo.

Utakuta vifunguo vya baby walker wanavitikisa tikisa ili kuwakoga vicheche na sampuli zingine za washamba washamba.
Crown, Fuga na Brevis zinaanzaje kuwa baby walker ma v6 yalee😟😟 yanataka chakula heavy😂😂
 
Tukiwa tunapta vinywaji tukiwa na jamaa zangu, mmoja wetu alimtaka demu mmoja mbaye inaonekana alikuwa muuzaji wa K, jamaa alimwimbisha demu akakubali akajumuika na sisi.

Yule demu alikuwa anafanya movement ambazo nizitilia shaka, mara kadhaa alikuwa anaenda kuongea na mabaunsa sikujua walikuwa wanaongea nini lakini niligundua aliakuwa wanafanya mipango ya kumdhuru jaama ya yetu, alimchukuwa jamaa na kwenda kwenye parking ili huku yule demu akiwa ameshika chupa yake (ya huyu binti), Binafsi kwakuwa nilishamtilia shaka na mimi nikanyanyuka bila wao kujua nikawa nawafutilia, Basi yule demu akaanza kumpa yule jamaa denda, huku akitomasa mshikaji.

Bada ya dk kama 5 hivi nikaona jamaa yupo hoi kalegea balaa demu akawa kamuacha wakaja jamaa wawili mmoja ni dogo mmoja mweusi hivi alikuwa anaangalia watu ikiwa walikuwa wanapata huduma na mwingine ni muhudumu wa kiume mweupe hivi. Walianza kumpapasa jamaa wachukuwe simu na wallet ilibidi nishitue oya mbona unataka kumubia mshikaji, wakaanza kuwa na hofu, ahaaa kalewa tunataka tumsaidie mara ooh hajalipa bili alitaka kukimbia, ikawa mzozo balaa.

Huwezi amini mabaunsa walikuja wakamkomalia jamaa alitaka kuondoka bila kulipa bili, chap wakaandika karatasi ya bili 48,000, wakati bili hiyo tuliilipa mapema kabisa.

Kwakuwa jamaa walikuwa wamejipanga ikabidi tu nilipe tena kwa niaba ya jamaa ili kumnusuru maana niliona jamaa wamedhamiria.

Ikibidi tuondoke ila jamaa akawa hajitambui, mchana huu ndiyo anapata nafuu.

Inaonekana wale wadada poa wanashirikiana na wafanyakazi wa pale kuwawekea wateja madawa ya kulevya

Kwa hiyo ndugu zangu mkienda pale muwe na taadhari sana.
Ukilipa bill omba lisiti ya EFD ndo komesha yao wahudumu na wamiliki wa Bar
 
Hongera rafiki kwa kumnusuru nduguyo
 
Back
Top Bottom