bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Mambo yanatishaa sanaa,
Yaani ukikaa ukafuatilia matokeo hasi waliyokumbana nayo wanadada utabaki mdomo wazi, kama malaya kaona dudu. Hapa nazungumzia mahusiano ya kimapenzi baina ya mabinti chipukizi katika fani na mabosi zao. Wanabodii mifanoo ni mingi.. kwa leo ntatoa miwili tuu.
Celine Dion
Huyu mwanamama akati ana miaka 12 akakutana na bosii/meneja wake miaka 38. Alipofikisha miaka 18 tuu akaweka wazi mahusiano yake na meneja. Sasa buana kilichomkutaa kina ogofyaa sana yaani kabakii shingoo tuu.
Aaliyah
Huyuu nayee alikuwa kwenye mahusiano na meneja wake, beberu RKelly. Asalaleeh binti wa watu akaishia kufa akiwa na miaka 22 tuu.
Nandi
Huyu naye akajiweka kwa Ruge sasa hata mwaka haujapita akawaa mjanee. Bahati yake hatupo india, maana ingebidi tumchome moto amsindikize mumewe
Naam nazani dada zetu mmejifunza jambo. We Zuchuu subirii kikukute kitu kizito ndo utashika adabu.