Kilichozuia kufanyika kwa Sherehe za Uhuru wa Tanganyika kwa miaka mitatu iliyopita kimekwisha ?

Kwani kilichoifanya chadema isusie sherehe za kiserikali kwa miaka yote iyo kimeisha?
 
Majibu yote yako kwenye hotuba kali sana ya Mh Mbowe , hii hapa
 
Attachments

  • Mwamba tuvushe ( 422 X 750 ).mp4
    2.7 MB
Swali fikirishi sana hili bila shaka utagundua kuwa watu hukurupuka tu na kuamua kufanya au kutofanya baadhi ya mambo msingi sana kwa nchi kama hili la kuadhimisha uhuru.

Lack of adherence to the prescribed course of action.... tunaswampa swapa tu pumbaf......
 
Tumekusoma mkuu
 
Back
Top Bottom