Sakwe Member Joined Jul 31, 2022 Posts 46 Reaction score 300 Aug 18, 2022 #1 Wasalaam Tanga kunani ,sehemu inaitwa Kilima Mzinga, Tanga huko ni maarufu kwa wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu ila mazingira yale ndio yalinifanya kugundua kuwa kweli Tanzania ni kubwa aise!
Wasalaam Tanga kunani ,sehemu inaitwa Kilima Mzinga, Tanga huko ni maarufu kwa wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu ila mazingira yale ndio yalinifanya kugundua kuwa kweli Tanzania ni kubwa aise!