Kilimanjaro: Adaiwa kulawitiwa na binamu yake

Inawezekana kuingiliwa kimwili ikawa hakuja kamilika, Ila haiondoi uhalisia kuwa mtoto amenajisiwa.
 
Masikini, kuna watoto wanapitia matukio ya hovyo na ya kikatili ila ndio hawana mtetezi.
 
Miaka 3.5 anachunga mifugo? Msizae kama hamna muda wa kulea watoto!
Kabisa mimi nadhani kuwe na adhabu ya kifungo cha mwaka kwa aina hii ya wendawazimu ambaye anamuacha mtoto mdogo chini ya miaka 18 katika mazingira tatanishi yasio na ulinzi kwa mtoto.

Unakuta majitu yamekazana kupigana miti bao likija ya amwagia ndani halafu yanabeba mimba kabisa then wanapata watoto halafu kwenye malezi wanatelekezea watu wa ajabu ajabu mara bibi, mara jirani, mara mamdogo, mara shangazi, kwann usilee mtoto wako kwa bidii yako mwenyewe kama ulivyomtafuta shenzified bastard kabisa wewe.....

Mimi nina hasira hapa. Mtoto wa miaka 3 ni mdogo sana aisee.
 
Naungana nawee kabisaaa,
 
Inahuzunisha!
 
Hili suala kwani lina sintofahamu na mikanganyiko mingii.

Ila ukweli ulio wazi, mtoto wa miaka 3 hana tupu ya kuweza kupokea uume wa mtu mwenye miaka 19, hata wangetumia kilainishi gani, sasa hapo pa kuchunga ng'ombe means mate ndo kilainishi cha haraka, ingewezekanajee? Na km kweli huyo mtoto ameingiliwa, angevuja damu nyingi mnoo, hata nguvu ya kutembea asingekua nayo, eti anasema "Fulani kanipiga na dudu yake huku" khaaaah

Haya matukio ya kusingiziaa watu ulawiti yameshamiri ili kukomesha wabaya wao, na huyo Dr anaficha nn kutoa majibu ya vipimoo. Km sio uongo na unafikii huu.

Huyo Anderson anatafutiwa sababu ya kwenda jelaa, watu wabaya sanaa, ulawitii mchezoo?? Waache kusingizi watu Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…