Mwanajeshi silaha anatoa wapi wakati anaweza maliza mwaka hata bunduki hajashikakwahiyo jeshi limemfukuza kazi bila kufwatilia mali zake.
inawezekana jamaa ana silaha pia.
nimesoma hiyo codeMkuu hata Kama ulipwe 100m Ila Kuna wakati lazima ujiulize maswali mengi kabla fikia uamzi wa kuwa,
Ok naishia hapa😭😭😭😭😭
🤣🤣🤣 alafu kirahisi kabisa aisee.Umeshareveal Identity yako jomba. Hapo wakimhoji kama kweli aliwahi kutunga shairi kwenye harusi ujue ni yako 😃😃😃
Katika vyombo vya usalama TAKUKURU angalau wana maslahi mazuriHata nyie wanajeshi pia bado njaa inawasumbua pia, kwa ufupi tu vyombo vya ulinzi na usalama kwa bongo maslahi kidogo yapo huko TISS na TPDF ila kwengine tia maji tia maji.
Hii nyuzi ilitaka kunipita.[emoji1]Hata nyie wanajeshi pia bado njaa inawasumbua pia, kwa ufupi tu vyombo vya ulinzi na usalama kwa bongo maslahi kidogo yapo huko TISS na TPDF ila kwengine tia maji tia maji.
Wanajeshi wanazidiwa parefu na TISS upande wa posho..Hii nyuzi ilitaka kunipita.[emoji1]
Ila TISS wako njema pia mkuu, kuna Mamlaka moja hapo katikati pia wako njema mno.Katika vyombo vya usalama TAKUKURU angalau wana maslahi mazuri
faida ya kuwa usalama wa taifa ni kuwa untouchable tu mfano nina dogo langu bandarini ni mwanakitengo huwa anapiga magendo akijua kabisa hakuna wa kumfanya chochote
Ila TISS wako njema pia mkuu, kuna Mamlaka moja hapo katikati pia wako njema mno.
Yes!sikupingi wanaposho ndefu sana yakutafutia information.Wanajeshi wanazidiwa parefu na TISS upande wa posho..
Hao waliokuwa huko ni penetration/infiltration officer hawa bahati wanayopata ni kwamba wao wanaingia kwenye salary scale za hizo taasisi kubwa, nina wadau wangu wengi tu ni penetration officers katika baadhi ya Mamlaka ila nao bado sio kiivyo.kinachowabeba TISS ni professional uliyosomea mfano kama ni Daktari ukawa sleeper cell kwenye hiyo fani inatapa mshahara pande zote mbili
lkn hawa makanjanja wa mtaani mfano mafundi viatu mshahara wao ni wa kawaida tu kama walimu kinachowabeba ni posho tu
TISS ambae ambae ni muajiriwa wa TPDC,TRA,BOT,TPA au TANROAD huwezi kulingana maslahi na TISS kanjanja muuza kahawa so kinachowabeba ni ile mishahara ya professional zao
Hahha sio hiyo hata..Yes!sikupingi wanaposho ndefu sana yakutafutia information.
Yes!sikupingi wanaposho ndefu sana yakutafutia information.