SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Mpaka sasa hatujapokea baiskeli pendwa. Pengine tutarajie bodaboda
Aibu kwa watanashati kulilia baiskeli, mtachekwa nyie!Mpaka sasa hatujapokea baiskeli pendwa. Pengine tutarajie bodaboda
Lucas Mwashambwa Kisha pokea Toyo lake muulize vizuri uyu ndo mratibu wa hizo San LgMpaka sasa hatujapokea baiskeli pendwa. Pengine tutarajie bodaboda
Tegemeeni ile kitu ya ArushaMpaka sasa hatujapokea baiskeli pendwa. Pengine tutarajie bodaboda
Kaskazini hakuna ombaomba acha wapewe watu wa Pwani wavivuMpaka sasa hatujapokea baiskeli pendwa. Pengine tutarajie bodaboda
Huyu jamaa (Lucas) ni nani,mbona watu mnamshobokea sanaLucas Mwashambwa Kisha pokea Toyo lake muulize vizuri uyu ndo mratibu wa hizo San Lg
Kua na mipaka bwana mdogo lugha chafu mwenyewe naiweza vizuri sana jichanganye ukalie dole la kati (🖕)nani,mbona watu mnamshobokea sana
Lugha chafu iko wapi hapo mkuuKua na mipaka bwana mdogo lugha chafu mwenyewe naiweza vizuri sana jichanganye ukalie dole la kati (🖕)
Mwenezi msaidizi wa Chama asie na aibu Lucas MwashambwaHuyu jamaa (Lucas) ni nani,mbona watu mnamshobokea sana
na mimi nataka baiskeli ya mamaaaMpaka sasa hatujapokea baiskeli pendwa. Pengine tutarajie bodaboda
We ni balozi shina namba ngapiMpaka sasa hatujapokea baiskeli pendwa. Pengine tutarajie bodaboda