Kilimanjaro: Askari 6 wapata ajali wakiwa wanakwenda kuchukua mahabusu

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Askari sita wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro wamepata ajalı katıka eneo la Cooperatıve, mpakanı mwa Wilaya za Sına na Hai, wakıwa njıanı kwenda kuchukua mahabusu katika Gereza la Karanga wilayani Moshi.

Ajali hiyo imetokea baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi upande wa kulia, kugonga mti na kısha kupinduka, wamefanikiwa kutoka salama, hakuna kifo.

Your browser is not able to display this video.
 
Alive?
 
Nilidhani wamekufa, pole Yao!
 
Your browser is not able to display this video.
 
Habari njema mwezi huu zinatufurahisha.

Jana bonge mafuta kateketea kwenye chopa.

Leo vidampa wa CCM nao wamekumbana na kisiki.
 
Ajali hiyo imetokea baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi upande wa kulia, kugonga mti na kısha kupinduka, wamefanikiwa kutoka salama, hakuna kifo.

Mleta mada umeweza kujua ni nini hasa kilichowatoa salama hao watu?maana dah,nikiwa kama raia wa nchi hii sijapendezwa kabisa na huu mstari niliou-bold.
 
Huu Uzi hauna ukakasi wa chumvi na limao.
Huu Uzi ungekuwa mzuri kama hawo maaskari wangekuwa RIP
 
Subhanallah! 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…