Kilimanjaro: Askari 6 wapata ajali wakiwa wanakwenda kuchukua mahabusu

Da
Askari sita wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro wamepata ajalı katıka eneo la Cooperatıve, mpakanı mwa Wilaya za Sına na Hai, wakıwa njıanı kwenda kuchukua mahabusu katika Gereza la Karanga wilayani Moshi.

Ajali hiyo imetokea baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi upande wa kulia, kugonga mti na kısha kupinduka, wamefanikiwa kutoka salama, hakuna kifo.

Kwa hiyo hizo mali za chama hakuna hata iliyo rudisha mpira kwa kipa?
 
Askari sita wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro wamepata ajalı katıka eneo la Cooperatıve, mpakanı mwa Wilaya za Sına na Hai, wakıwa njıanı kwenda kuchukua mahabusu katika Gereza la Karanga wilayani Moshi.

Ajali hiyo imetokea baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi upande wa kulia, kugonga mti na kısha kupinduka, wamefanikiwa kutoka salama, hakuna kifo.

Dereva wa polisi akatwe point
 
Sasa ni kwanini hawakufariki!!!!
 
Back
Top Bottom