Kwa hiyo hizo mali za chama hakuna hata iliyo rudisha mpira kwa kipa?Askari sita wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro wamepata ajalı katıka eneo la Cooperatıve, mpakanı mwa Wilaya za Sına na Hai, wakıwa njıanı kwenda kuchukua mahabusu katika Gereza la Karanga wilayani Moshi.
Ajali hiyo imetokea baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi upande wa kulia, kugonga mti na kısha kupinduka, wamefanikiwa kutoka salama, hakuna kifo.
Dereva wa polisi akatwe pointAskari sita wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro wamepata ajalı katıka eneo la Cooperatıve, mpakanı mwa Wilaya za Sına na Hai, wakıwa njıanı kwenda kuchukua mahabusu katika Gereza la Karanga wilayani Moshi.
Ajali hiyo imetokea baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi upande wa kulia, kugonga mti na kısha kupinduka, wamefanikiwa kutoka salama, hakuna kifo.
Sasa ni kwanini hawakufariki!!!!Askari sita wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro wamepata ajalı katıka eneo la Cooperatıve, mpakanı mwa Wilaya za Sına na Hai, wakıwa njıanı kwenda kuchukua mahabusu katika Gereza la Karanga wilayani Moshi.
Ajali hiyo imetokea baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi upande wa kulia, kugonga mti na kısha kupinduka, wamefanikiwa kutoka salama, hakuna kifo.
Et hakuna alie kufa ni matumizi mabaya ya ajaliSafi kabisa.