Pre GE2025 Kilimanjaro: Baadhi ya wananchi wa jimbo la Siha watangaza kumchukulia fomu ya Ubunge, mbunge wao Godwin Mollel

Pre GE2025 Kilimanjaro: Baadhi ya wananchi wa jimbo la Siha watangaza kumchukulia fomu ya Ubunge, mbunge wao Godwin Mollel

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuuu,

Wananchi wa Jimbo la Siha wameonyesha nia thabiti ya kumuunga mkono Mbunge wao, Godwin Mollel, kwa kuahidi kuhakikisha wanamchukulia fomu ya kugombea tena Ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Soma pia: Kuelekea 2025 Kilimanjaro: CV za Wabunge mwaka 2020 - 2025. Mbunge wako ametimiza ahadi zake?

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wananchi hao walisema kuwa wanaridhishwa na kazi nzuri inayofanywa na Mbunge wao, hususan katika kusukuma mbele maendeleo ya jimbo hilo.




Source: Global TV Online

==================================================

Hii strategy ya kuchukuliana fomu mbona inakuwa popular sana.

Au ndo siku hizi wanasiasa wamebuni hii mbinu mpa ya kujifanya wanachukuliwa fomu ili kuonekana wanakubalika sana?
 
Back
Top Bottom