Kilimanjaro imejaa barafu ya kutosha

Umepiga kutokea kibosho. Kwa upande wa Tarakea hadi Rongai huwa kuna barafu haiyeyuki! Sababu jua linachomozea upande ule.huu upande mwingine jua linapiga sana hadi lizame barafu imepata shida sana.
 
Sasa wewe umepiga wingu picha ndilo unaliita barafu?

Piga picha mlima wakati hakuna wingu ndio tuuone vizuri.
Mkuu picha ya tatu toka juu inaonyesha vizuri.
 
Wanasayansi wenyewe kazi yao kufanya prediction tu.

Hamna lolote
Inawezekana na mapendekezo waliyotoa yamefanyiwa kazi kiasi, ndio maana unaona hali inakuwa nzuri. Au unahisi hawatakiwi kujihusisha waangalie tu, miti ilivyokuwa inakatwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…