Kilimanjaro imejaa barafu ya kutosha

Kilimanjaro imejaa barafu ya kutosha

Wanasayansi wenyewe kazi yao kufanya prediction tu.

Hamna lolote
endelea kukata miti, barafu haitaisha kijana wangu wajukuu wako hawatatakuja ona maji mengi hapo kilimanjaro na hiyo barafu itakua kipara ngoto endelea na kiburi huku ukidharau sayansi
 
Umepiga kutokea kibosho.
Kwa upande wa tarakea hadi rongai huwa kuna barafu haiyeyuki!sababu jua linachomozea upande ule.huu upande mwingine jua linapiga sana hadi lizame barafu imepata shida sana
Nimepigia machame
 
Back
Top Bottom