endelea kukata miti, barafu haitaisha kijana wangu wajukuu wako hawatatakuja ona maji mengi hapo kilimanjaro na hiyo barafu itakua kipara ngoto endelea na kiburi huku ukidharau sayansiWanasayansi wenyewe kazi yao kufanya prediction tu.
Hamna lolote
Ilikuwa hivi...
View attachment 2419852
Ikifatia hivi...
View attachment 2419853
Na sasa iko hivi.....🤣🤣🤣
View attachment 2419854
To be honest Kilimanjaro kwa uzuri huwezi fananisha na lushoto hata nusu au unabisha? Nilete picha hapaAccumen Mo check hizo picha. Yani ukijaaanii. Chezea uchagani wewee.
Hali ni mbaya.Ilikuwa hivi...
View attachment 2419852
Ikifatia hivi...
View attachment 2419853
Na sasa iko hivi.....🤣🤣🤣
View attachment 2419854
Nimepigia machameUmepiga kutokea kibosho.
Kwa upande wa tarakea hadi rongai huwa kuna barafu haiyeyuki!sababu jua linachomozea upande ule.huu upande mwingine jua linapiga sana hadi lizame barafu imepata shida sana