Kilimanjaro Int. airport yaitupa Nairobi mbali kwa kasi ya ukuaji.

Do you know why do we feed you.
Kenya is our young brother we will never let you down.

Lakini pungizeni mdomo. Mnapo kula na kushiba mnaanza kuropoka maneno ya hovyo.

Back to the thread now. What do you think about KIA?

Pass--Mad woman getting critical.Sasa ametoa suruali kafinikia kichwa chake!
 
Teh teh teh
 
Kuna kautafiti fulani kalifanywa Bongo juzi. Hivyo tutawaelewa kila mnapokurupuka hivi....
 
do you expect a father to grow fast or a kid?case closed
 
Mnaringa airport yenu yakuwa kubwa ilhali ni ndege za Kenya zimejaa humo??!!!!

Kenya Airways ina ndege takriban 60 wakati TZ ina ndege mbili pekee ambazo ni ndogo kuliko ndege zote za Kenya Airways.

Jengeni kabisa tuijaze ndege zetu.
 
Tukizipiga ban hizo ndege zenu kuja bongo mnalialia
Sasa mnaongea nn tena
 
Ila nikueleze tu!...nafikiria tabia yako kibinafsi ni kama tu hiyo avatar ya sura mbaya KISHETANI uliyojiwekea........huenda ni sura yako haswaa!
Kila mara nikizisoma maandishi yako humu huwa najikuta nimeitazama hiyo sura yako ya kishetani!......😀😀!
Wengi wenu huwa mashetani tu!
 
Duuu sasa hapo ushetani umetokea wapi??
Yeye anatofa takwimu unaanza kumwita shetani....
 
Duuu sasa hapo ushetani umetokea wapi??
Yeye anatofa takwimu unaanza kumwita shetani....

Jambo hili limekuwa kichwani mwangu siku kadhaa hivi!....nina uhuru wakuliachilia humu!......hatujuani!
 
Jambo hili limekuwa kichwani mwangu siku kadhaa hivi!....nina uhuru wakuliachilia humu!......hatujuani!
Sijakataa kuhusu uhuru wako wa kueleza..... lakini ushetani umetokea wapi???
 
Mimi ni Mtanzania tena mzalendo ila katika ili I beg to differ. Kilimanjaro (KIA) niijuayo au nyingine. Vindege vya kujaa kiganjani ndio vimpuki Nairobi labda naota
 
Mimi ni Mtanzania tena mzalendo ila katika ili I beg to differ. Kilimanjaro (KIA) niijuayo au nyingine. Vindege vya kujaa kiganjani ndio vimpuki Nairobi labda naota
Ni kweli wewe ni bongolala Kwahiyo huwezi kujua statistics za Air Travel Analysis.
 
Pwa hahahah. Huo ndio tunaouita wivu wa kike. You have to admit that TZ is growing faster than your expectations.

Kwikwikwi. Kubali yaishe ndugu utakufa kwa presha.
Waache wazubae
Hata USA ilikuwa inaidharau China
Ila chamoto anakiona
 
hizi si ni zile statistics zilisema overal airport traffic analysis kenya ilikua inaongoza africa nzima, ukichanganya airport zote kenya
 
Wakenya wanashangaa kila kinachitokea TZ hawaamini macho yao.

TZ oyeeeeee.

pia mie nitaongezea shangwe na vigelegele hapo oyeeeeeeee!!!!.......lakini subiri kidogo naomba upachike picha hapo ya kilimanjaro la sivyo nitaweka mimi na nahisi utateta. kwa hivyo nasasubiri hizo picha!!!

JKIA KENYA

Turkish Airlines Opened Their New Lounge (TAV) @ JKIA Recently

source

That is good move for KIA and Tanzania .....I really appreciate what has been done to make that happening......we are growing slowly but sure.....Mungu ibariki Tanzania. ...Mungu ibariki Africa! !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…