Kilimanjaro is in Kenya!!!!!

Kilimanjaro is in Kenya!!!!!

Bodi ya Tanzania yafafanua kuhusu Mlima Kilimanjaro
  • Saa 4 zilizopita
Mshirikishe mwenzako
160415155736_kilimanjaro_bbc_640x360_bbc.jpg


Image caption Mlima Kilimanjaro unapatikana Tanzania
Bodi ya Utalii Tanzania imetoa taarifa kufafanua kuhusu Mlima Kilimanjaro baada ya shirika moja la habari la Marekani kudaiwa kuchapisha taarifa iliyoonekana kuashiria mlima huo unapatikana Kenya.

Shirika hilo lilikuwa likiripoti kuhusu kifo cha Guguleth Zulu, raia wa Afrika Kusini, aliyefariki akikwea Mlima Kilimanjaro.

“Tungependa kusahihisha habari za kupotosha zilizochapishwa na Miami Herald, kwamba Mlima Kilimanjaro unapatikana Tanzania na si Kenya,” taarifa iliyotiwa saini na meneja mkurugenzi wa Bodi ya Utalii ilisema.

Bodi hiyo inasema imeliandikia barua gazeti hilo na kulitaka lichapishe sahihisho.

Bodi ya Tanzania yafafanua kuhusu Mlima Kilimanjaro - BBC Swahili
 
Ndio maana mtumbua majipu aliweka VAT maana hata wakienda Kenya watakuja kutupatia VAT yetu..
 
unashangaa hilo, wenzako wanafaha kuwa Nairobi ni mji mkuu wa NIGERIA

1468951178718.jpg
 
Haya ona hao wazungu unao waamini kuwa wanajua Jiografia.

1468951297820.jpg
 
You see, even the rest of the world acknowledge that the Mountain really rightfully belongs to Kenya. Blunders were made during the partitioning, the creation of the boundaries betwn these two countries in which the mountain was wrongfully handed to Tanzania. Tanzanians ought to do the needful, to cede the mountain and the surrounding regions and hand it back to its rightful owner, Kenya.


If only you could handover Mombasa back to Tanzania!

Hiw dare you praise those who made boindaries between you and us.....beats me
 
You see, even the rest of the world acknowledge that the Mountain really rightfully belongs to Kenya. Blunders were made during the partitioning, the creation of the boundaries betwn these two countries in which the mountain was wrongfully handed to Tanzania. Tanzanians ought to do the needful, to cede the mountain and the surrounding regions and hand it back to its rightful owner, Kenya.


Isn't Kenya a region in Tanzania?
 
Even the pipo living within the environs are kenyans in character. You ought to give the mountain, plus the surrounding regions back to Kenya.


How dare you talk shit like that in here? I'm from Kilimanjaro and never have I dared compared myself to a Kenyan, you must be fuc.king sick. A Kenyan, are you for real? You tell that to any Kilimanjaro born citizen in front of their faces and you'll see what will happen to you. We all know how wounded Kenyan dudes and dudettes look, you compare them to my people in Kilimanjaro? You need to be sued, damn you.
 
Yafaa tuendelee kuwasahihisha mpaka watakapo tambua Africa mashariki kuna nchi sita ikiwamo na Tanzania nasio wakisikia East Africa wanajua ni Nairobi Kenya.Nafikiri Bodi ya utalii waamke nakutangaza vivutio vyetu kupitia mitandao ya kijamii aina gharama kubwa zaidi ya kuwa na internet idara zao za masoko waamke Social media inafaa pia kujitangaza mpaka wenzetu wajue vivutio vyetu.
Tatizo nyie wabongo mmezubaa sana
 
Wabongo jameni , kama sio nyinyi tutataniana na nani dunia hii?Mwenzetu hapo juu, don't be too serious, chillax.

Japo hilo lilikuwa kosa kuitangaza mlima upo kwetu, hivi nauliza swali moja tu : mmefanya nini kuitangaza mlima huu kwenye vyombo vya kimataifa??
 
Waambieni waaandishi wa south Africa wakopi na kupest kwenye profile picture yangu,But problems is starting from us watanzania wote tutafikia na kukuza uchumi kama kila mmoja atasimama na kuitangaza tanzania hata kama tuna itikadi tofauti ,hata kama tutatofautiana kielimu,kiutamaduni,kiuchumi na kijamii...Tutafika tu,tussipokuwa makini wakenya wataendelea kuutangaza mlima kilimanjaro kama mlima wao
 
Tihahahaha. This is the Most hilarious post and comments ever.Acha niite majirani sasa tusome comments.
 
Back
Top Bottom