sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Kwa tuliokulia mikoa mingine mkoa wa Kilimanjaro tulikuwa tukiusikia Kwa redio na kuhisi ni Ulaya ndogo, hata wenyeji wa Mkoa huo tulipokutana nao jijini Dsm tuliona ni watu waliostaarabika sana na kwa kweli walikuwa wachapa kazi watu wa kusaka chapaa sana, pasipo kuchoka, watu wenye haiba fulani na ucha Mungu wa kuzugia.
Sifa zao ni nyingi sana laaaaula haya niliyoyasikia baada ya kufika mkoani mwao ni aibu. Nianze na Ili kubwa jipya!
Nimeamka zangu kidume nikasogea maeneo ya Himo pale kwenye kabenki ka NMB Mzee kuchukua kabalance ka kununua mtori, baada ya kupata fedha navuka upande wa pili Ili nipande SHATO kwenda Town naambiwa hapa hakuna stendi, yaani gari hazismami hapo siku hizi nikauliza tatizo nini?
Jibu nililopewa nilitamani ardhi ipasuke inimeze niachane na hii Dunia iliyojaa ufedhuri.
Naambiwa heti kuna kijana alikuwa anapiga debe mahala pale alilawitiwa na kisha baada ya kufanyiwa hivyo waliomfanyia unyama ule wakaamua kumtoboa toboa sehemu mbalimbali za mwili wake, ikiwemo tumboni machoni na kwingine aise na huyo kijana yupo hoi hosptali.
Ghafla nilijihisi mwenye mikosi maana tangu nimeingia mkoani humu nasikia matukio ya ajabu ajabu tu
mara Padri alawiti watoto, Marangu kijana auawa mara kijana alawitiwa hivi ni Pepo gani linawakumba ndugu zetu wachaga?Hivi kweli mmekengeuka kiasi hiki?
Juzi nikiwa naenda zangu town kutoka hapo barabara ya Kilema Askari wa magendo barabarani walismamisha hiace niliyokuwa nimeipanda, ghafla wakamdaka jamaa akiwa amebeba mirungi ubavuni mwangu nikajihisi ni mwenye mikosi walahi nitaondoka mkoani hapa ni historia mbaya siku nikishuka MADARAKA makubwa kama ya Magufuli nitawashughulikia vilivyo.
Huu ujinga mnahitaji kutandikwa bakora kila mchaga popote alipo mnaiaibisha nchi.