Tetesi: Kilimanjaro: Kijana mpiga Debe alawitiwa kisha kutobolewa utumbo

Tetesi: Kilimanjaro: Kijana mpiga Debe alawitiwa kisha kutobolewa utumbo

Acha ungexe wewe,yani wewe umeona wachaga ndo wenye hayo matukio???kila kona sasa hivi matukio hayo yanatokea,alafu wewe muoga sana kama huwezi kuishi kwa wagumu nenda kwenu kwa wapaka poda dar,

Duh [emoji849] la uso aisee [emoji38]
 
Kunywa pombe lala mtaroni wakutupie mayai....

Shida ni kukua kwa miji hivyo kuzaliwa kwa tabia na maadili tofauti tofauti....

Nenda Rombo sasa[emoji28][emoji28][emoji24][emoji24][emoji24]
Rombo kunani bwa shee. Mengeleni kumetokea nini?
 
Acha kuwasagia kunguni wateule wa Bwana[emoji1787]

Hiyo ni kweli kabisa maana Mt Kilimanjaro Mwenye Enzi Mungu kauweka kwa ajili ya kuwa hekima na ufahamu wachaga wote walahi!
 
Unafikiri kuna siku Dunia itaacha kushuhudia mambo ya kutisha kama Ulawiti, ujambazi, Wizi, Uchawi, Ushirikina,Mauaji, Uasi hii yote ni sehemu ya Dunia, hivyo ukiwa humu duniani juwa lolote laweza kutokea kwa mtu yeyote bila kujali kabila lake, Dini yake , au chama chake.
 
Kwa tuliokulia mikoa mingine mkoa wa Kilimanjaro tulikuwa tukiusikia Kwa redio na kuhisi ni Ulaya ndogo, hata wenyeji wa Mkoa huo tulipokutana nao jijini Dsm tuliona ni watu waliostaarabika sana na kwa kweli walikuwa wachapa kazi watu wa kusaka chapaa sana, pasipo kuchoka, watu wenye haiba fulani na ucha Mungu wa kuzugia.

Sifa zao ni nyingi sana laaaaula haya niliyoyasikia baada ya kufika mkoani mwao ni aibu. Nianze na Ili kubwa jipya!

Nimeamka zangu kidume nikasogea maeneo ya Himo pale kwenye kabenki ka NMB Mzee kuchukua kabalance ka kununua mtori, baada ya kupata fedha navuka upande wa pili Ili nipande SHATO kwenda Town naambiwa hapa hakuna stendi, yaani gari hazismami hapo siku hizi nikauliza tatizo nini?

Jibu nililopewa nilitamani ardhi ipasuke inimeze niachane na hii Dunia iliyojaa ufedhuri.

Naambiwa heti kuna kijana alikuwa anapiga debe mahala pale alilawitiwa na kisha baada ya kufanyiwa hivyo waliomfanyia unyama ule wakaamua kumtoboa toboa sehemu mbalimbali za mwili wake, ikiwemo tumboni machoni na kwingine aise na huyo kijana yupo hoi hosptali.

Ghafla nilijihisi mwenye mikosi maana tangu nimeingia mkoani humu nasikia matukio ya ajabu ajabu tu
mara Padri alawiti watoto, Marangu kijana auawa mara kijana alawitiwa hivi ni Pepo gani linawakumba ndugu zetu wachaga?Hivi kweli mmekengeuka kiasi hiki?

Juzi nikiwa naenda zangu town kutoka hapo barabara ya Kilema Askari wa magendo barabarani walismamisha hiace niliyokuwa nimeipanda, ghafla wakamdaka jamaa akiwa amebeba mirungi ubavuni mwangu nikajihisi ni mwenye mikosi walahi nitaondoka mkoani hapa ni historia mbaya siku nikishuka MADARAKA makubwa kama ya Magufuli nitawashughulikia vilivyo.

Huu ujinga mnahitaji kutandikwa bakora kila mchaga popote alipo mnaiaibisha nchi.
Unashangaaa ulawiti Leo? Huo unyama ni sehem ya adhabu zitolewazo kwa watu wanao esabika kutendea wenzao makosa .

Mwaka 2005 , nilifika sehemu moja inaitwa "Kahe"tukiwa vijana zaidi ya kumi tumetokkea Manyara, tukaungana nawenzetu tulio wakuta Kahe.

Kipindi tulikua tumeajiliwa na company moja ya ujenzi ya mjini Moshi iliyokua na Kazi Babati na Kahe wakijenga mfumo wa umwagiliaji kwenye mashamba yamiwa ya, TPC .

Kimbembe kilianza baada ya mtunza stoo kufanikiwa kuuza nondo, kwa msaada wa vijana wenzake walio tafuta mteja na kuzivusha.

Baada ya zoezi kukamilika , inadaiwa mtunza stoo hakutoa mgao kwa wenzake 2, mmoja alikua mtu wa Morogoro , na mwingine wa Tanga.

Vijana walivyo ona wamedhulumika , wakaona na iwe noma , akatafutwa mkuu wa kikosi akiitwa "Bonge"
Bwana Bonge akapewa mchongo nae akaandaa kikosi kazi.
Siku ya shghuli ikatimia . Siku hiyo mtunza stoo Yuko zake bar huko mabogini anapata eagle [emoji1659] yake ( sikumbuke vizuri )
Kama siyo eagle basi ilikua Uhuru.
Akaingia kijana mmoja wa Bonge, akamwambia neno kama anamnong'oneza , kwa kua mziki ulikua unapigwa hakuna alie jali kwa sisi tulio kua meza moja na mtunza stoo. kidogo wakatoka kwa nje na yule kijana wa Bonge.

Jamaa hakurudi hadi bar inafungwa.

Tulivyo rudi kambini tunakuta wenzetu ambao hawakutoka nao hawapo.

Asubuhi tulivyo amka wale wenzetu 2 waliodhulumika kwenye mchongo wa nondo wamejeruhiwa kwakukatwa na panga.

Kuuliza kulikoni, tunaambiwa ni mtunza stoo.

Nini chanzo Cha kutaja kuuwana?
Ndiyo kilakitu kikawekwa wazi.

Baada ya madogo kudhulumika walimpa kazi Bwana Bonge ,ahakikishe kijana mwenzao anafanyiwa usodoma, na bwana Bonge alikubali tender akaandaa maneshi yake , tatizo hakutambua mlengwa ninani .

Mtunza stoo alivyo chukuliwa bar alipelekwa moja kwa moja eneo la kushughulikiwa, bahati yake kabla hajaanza kularuliwa na vijana wabonge , Bonge mwenyewe akamtambua ,Dogo hakua mchoyo wa bier pindi apigapo michongo yake.

Hata huo mchongo ulio taka kugeuka mchongoma , Bonge alipata offer.

Baada yakugundurika kua alie lala mbere Yao ni mtoa offer marufu , biashara ya ulawiti ikafa.

Zaidi yahapo Bonge aliwasaliti walio mtuma nakuwataja.

Kwa kufupisha, yule kijana alivyo Toka pale alienda site na kunoa panga akaenda kuwinda wabaya wake na kufanikiwa kuwamata Kila mmoja panga moja.

Siku niyo kutana na Bonge nilimuuliza , je angekua mwingine mngefanya ? Akanijibu "hata huyo anabahati ya kutambuliwa mapema vinginevyo angekipata Cha mtema Kuni.

Siku hiyo niliacha kazi Kahe, nikahamia KIA.
Niliona nikama sehem yenye laana.
 
#HABARI Mchungaji wa kanisa la kilokole Nurdin Abdallah, amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Magu mkoani Mwanza kwa kosa la kumbaka kwa nyakati tofauti mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka sita.

#EastAfricaRadio
Screenshot_20221012-154717.png
 
Huu mwaka mtapakuana sana ,nasema ivi makanisa yote izi kesi zipo sema mnafumbia macho
 
Back
Top Bottom