Kilimanjaro Kobil Rally 5/3/2017

Babu Gerald Miller wa kwanza. ..jamil khan kashindwa kumaliza. ..Davis mosha kashindwa kumaliza
 
Reactions: cpt
Ngoja tuisubilie recorded azam2
 
Babu Gerald Miller wa kwanza. ..jamil khan kashindwa kumaliza. ..Davis mosha kashindwa kumaliza
Huyu mzee sasa kazidi apumzike awaachie vijana ... ngoja tusubiri ya Iringa kama ataongoza tena.. Naskia Huwel Kaagiza Ford Fiesta Proton anaweza mkalisha huyu mzee Iringa
 
Ahmed Huwel "chief Mkwawa" namuaminia

Ni Nouma huyu jamaa, ana U-turn za hatari
 
Nafkiri pia kukaa nje ya mashindano kumemfanya asirudie ubora wake ... ila naamini rally ya Iringa atafanya vzur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…