choga mkuu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 283
- 110
Muda si mrefu Mkoa wa kilimanjaro utakuwa kwenye vichwa vya habari kufuatia mkazi mmoja wa Mwanga kudaiwa kugundua dawa ya magonjwa manne makuu ambayo ni sugu duniani pote.Mzalendo huyo kwa sasa bado yupo katika hatua ya kuzichakata na kazizalisha dawa za magonjwa hayo sugu ili kuhakikisha zinakuwa nyingi na za kutosha.Kwa mujibu wa tetes zinazovuma ni kuwa tayari wagonjwa baadhi waliokuwa wamefikia hatua critical ya kuharisha kuelekea mautin wameshatumia na kupona kabsa.Vipmo vimeonesha hawana ugonjwa/magonjwa yaliyokuwa yakiwasumbua muda mrefu,.