Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Muda si mrefu Mkoa wa kilimanjaro utakuwa kwenye vichwa vya habari kufuatia mkazi mmoja wa Mwanga kudaiwa kugundua dawa ya magonjwa manne makuu ambayo ni sugu duniani pote.Mzalendo huyo kwa sasa bado yupo katika hatua ya kuzichakata na kazizalisha dawa za magonjwa hayo sugu ili kuhakikisha zinakuwa nyingi na za kutosha.Kwa mujibu wa tetes zinazovuma ni kuwa tayari wagonjwa baadhi waliokuwa wamefikia hatua critical ya kuharisha kuelekea mautin wameshatumia na kupona kabsa.Vipmo vimeonesha hawana ugonjwa/magonjwa yaliyokuwa yakiwasumbua muda mrefu,.
Soon mzee wa chato ataunga tela kupata kikombe maana yule jamaa kwa magonjwa hajamboMuda si mrefu Mkoa wa kilimanjaro utakuwa kwenye vichwa vya habari kufuatia mkazi mmoja wa Mwanga kudaiwa kugundua dawa ya magonjwa manne makuu ambayo ni sugu duniani pote.Mzalendo huyo kwa sasa bado yupo katika hatua ya kuzichakata na kazizalisha dawa za magonjwa hayo sugu ili kuhakikisha zinakuwa nyingi na za kutosha.Kwa mujibu wa tetes zinazovuma ni kuwa tayari wagonjwa baadhi waliokuwa wamefikia hatua critical ya kuharisha kuelekea mautin wameshatumia na kupona kabsa.Vipmo vimeonesha hawana ugonjwa/magonjwa yaliyokuwa yakiwasumbua muda mrefu,.
Ni wale wanaougua njaa?Muda si mrefu Mkoa wa kilimanjaro utakuwa kwenye vichwa vya habari kufuatia mkazi mmoja wa Mwanga kudaiwa kugundua dawa ya magonjwa manne makuu ambayo ni sugu duniani pote.Mzalendo huyo kwa sasa bado yupo katika hatua ya kuzichakata na kazizalisha dawa za magonjwa hayo sugu ili kuhakikisha zinakuwa nyingi na za kutosha.Kwa mujibu wa tetes zinazovuma ni kuwa tayari wagonjwa baadhi waliokuwa wamefikia hatua critical ya kuharisha kuelekea mautin wameshatumia na kupona kabsa.Vipmo vimeonesha hawana ugonjwa/magonjwa yaliyokuwa yakiwasumbua muda mrefu,.
Mbona viongozi wenu waliendaga kunywa kikombe kwa babu loliondo?Msituletee u-Dr Ndodi
Ndiyo tutawajuwa viongozi wetu uimara waoYale yale ya "kikombe" cha Babu wa Loliondo!