Kilimanjaro: Mahakama yagoma kuwaachia huru Sabaya na wenzake, kesi yaahirishwa hadi Septemba 11

Kusomewa mashtaka ni popote kwasababu sheria inataka mtu asomewe ndani ya masaa 24.. halafu baada ya hapo ndio inahamishiwa mahakama husika.

Ni sahihi kumsomea mashtaka mtuhumiwa ndani ya masaa 24.

Lakini naamini ingekuwa vema watuhumiwa wasomewe mashtaka ktk mahakama zenye mamlaka ya kusikiliza mashtaka husika.

..kwa mfano, kumsomea mashtaka mtuhumiwa wa uhujumu uchumi ktk mahakama isiyo na mamlaka ya kusikiliza kesi za aina hiyo ni sawa na kumpotezea muda mtuhumiwa.
 
Elitwege
 
Kusomewa mashtaka ni popote kwasababu sheria inataka mtu asomewe ndani ya masaa 24.. halafu baada ya hapo ndio inahamishiwa mahakama husika.
Sasa hauoni ni kupoteza muda?kwani inachukuaa siku ngapi kufika mahakama husika.
Mahakama haina uwezo Wala mamlaka Sasa mnawapeleka kufanya Nini?
 
NIKO NJE YA MADA KIDOGO JAMANI[emoji41]

NAOMBA MWENYE MAWASILIANO NA YULE MCHUMBA WA SABAYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…