Kilimanjaro marathon iwe upgraded na kuwa Kilimanjaro Diamond League

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Kama kuna nia ya dhati ya kuitangaza kilimanjaro marathon iwe upgraded na kuwa kilimanjaro diamond league na serikali ipambane iingie kwenye calender ya diamond league

Kinachotakiwa ni kuboresha miundombinu kwa kujenga uwanja wa kisasa eneo ambalo litakuwa Zuri ni uwanja wa memorial ambako kwa sasa ni soko la mitumba

Michezo itakua ni mingi na sio tu marathon kama ilivyo zoeleka kwenye kilimanjaro marathon na ni event ambayo itachukua zaidi ya siku moja

Wanamichezo kutoka sehemu mbalimbali duniani watakuja Tanzania

Faida za kilimanjaro diamond league
  • Tanzania itapata nafasi ya kutangaza vivutio vyake bure na kufikia watu duniani
  • Mapato yatakayopatikana yatakua ni makubwa kumbuka watakuja wageni ambao watanunua bidhaa za kitanzania
  • Multiplier effect kwa wananchi hasa wa moshi itakua ni kubwa
 
Jamaa wa wild frontier africa wanasemaje kwani???
Wakina John addison

Ova

Wameibuni kwa raha zao, kama wafanyabiashara. Imebamba sasa hivi, wajanja wanaisukuma serikali iipore. Kama kawaida yetu, kila kitu tunasubiri kianzishwe halafu tukiibe juu kwa juu

Badala ya kutafuta na kubuni njia nyingine za kupata kodi, tunataka zile zilizopo ziingie matatani. Akili za kuambiwa changanya na za kwako 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ndiyo hapo sasa

Tanzania hakuna michezo ya diamond league fahamu hilo
Diamond league ni kitu kikubwa kuliko hata hiyo marathon inahitaji uwekezaji wa mabilion sio hiyo event inayofanyika ushirika
 
Hata ikibaki Inahitaji maboresho makubwa sana iko vile vile miaka nenda rudi haina uwekezaji wowote
Unajuwa wanao I run hiyo diamond league...??
Ni hao world athletics,sijui kama unaweza andaa tu bila kupitia wao...maana kuna mambo ya vigezo na masharti

Ova
 
Hata ikibaki Inahitaji maboresho makubwa sana iko vile vile miaka nenda rudi haina uwekezaji wowote
Au point yako ibadilike kutoka kili marathon,na iwe diamond league lkn ifanyike kilimanjaro syo..
Nahs yote yanawezekana

Ova
 
Tanzania hakuna michezo ya diamond league fahamu hilo
Diamond league ni kitu kikubwa kuliko hata hiyo marathon inahitaji uwekezaji wa mabilion sio hiyo event inayofanyika ushirika

Si uanzishe ili tuione bila kuingilia Kili Marathon? Kuna tabu gani muraa? Na kWanini iwe Moshi tu? Nenda Dodoma au Mtwara au hata Moshi ila sio Kili Marathon
 
Back
Top Bottom