Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Jamaa wa wild frontier africa wanasemaje kwani???
Wakina John addison
Ova
Jamaa wa wild frontier africa wanasemaje kwani???
Wakina John addison
Ova
Ndo wakina naniJamaa wa wild frontier africa wanasemaje kwani???
Wakina John addison
Ova
Wakina John AddisonNdo wakina nani
Hawa siwajuiWakina John Addison
Hao ndiyo waanzilishi wa kili marathonNdo wakina nani
Aisee dahHawa siwajui
Ndiyo hapo sasaWameibuni kwa raha zao, kama wafanyabiashara. Imebamba sasa hivi, wajanja wanaisukuma serikali iipore. Kama kawaida yetu, kila kitu tunasubiri kianzishwe halafu tukiibe juu kwa juu
Badala ya kutafuta na kubuni njia nyingine za kupata kodi, tunataka zile zilizopo ziingie matatani. Akili za kuambiwa changanya na za kwako π π π π π π π
Minawajua wakina ndesamburoAisee dah
Pitia historia ya kilo marathon
Ova
Tanzania hakuna michezo ya diamond league fahamu hiloWameibuni kwa raha zao, kama wafanyabiashara. Imebamba sasa hivi, wajanja wanaisukuma serikali iipore. Kama kawaida yetu, kila kitu tunasubiri kianzishwe halafu tukiibe juu kwa juu
Badala ya kutafuta na kubuni njia nyingine za kupata kodi, tunataka zile zilizopo ziingie matatani. Akili za kuambiwa changanya na za kwako π π π π π π π
Tanzania hakuna michezo ya diamond league fahamu hiloNdiyo hapo sasa
Ova
Kili ibaki kama kiliTanzania hakuna michezo ya diamond league fahamu hilo
Diamond league ni kitu kikubwa kuliko hata hiyo marathon
Hata ikibaki Inahitaji maboresho makubwa sana iko vile vile miaka nenda rudi haina uwekezaji wowoteKili ibaki kama kili
Waitengeneze,kuaqnda tu hyo diamond league
Ova
Unajuwa wanao I run hiyo diamond league...??Hata ikibaki Inahitaji maboresho makubwa sana iko vile vile miaka nenda rudi haina uwekezaji wowote
Au point yako ibadilike kutoka kili marathon,na iwe diamond league lkn ifanyike kilimanjaro syo..Hata ikibaki Inahitaji maboresho makubwa sana iko vile vile miaka nenda rudi haina uwekezaji wowote
Tanzania hakuna michezo ya diamond league fahamu hilo
Diamond league ni kitu kikubwa kuliko hata hiyo marathon inahitaji uwekezaji wa mabilion sio hiyo event inayofanyika ushirika