Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #21
Hao waendeshaji wa kilimathon wameshindwa kuiboresha na kuwa standard ya juu, zawadi zimekua ndogo ambazo zimeshindwa kuvutia wale runner wenye profile kubwa matches yake imekua vile vileSi uanzishe ili tuione bila kuingilia Kili Marathon? Kuna tabu gani muraa? Na kWanini iwe Moshi tu? Nenda Dodoma au Mtwara au hata Moshi ila sio Kili Marathon
Kwanza hatuna uwezo wa kujenga miundo mbinu ya kukidhi vigezo vya IAAF. Pia Diamond League si riadha peke yake, ni michezo kibao. Naunga mkono hoja yakoUnajuwa wanao I run hiyo diamond league...??
Ni hao world athletics,sijui kama unaweza andaa tu bila kupitia wao...maana kuna mambo ya vigezo na masharti
Ova
Uwezo upo kama serikali inauwezo wa kutenga billion kariba 300 za kununua magari kila mwaka unasamaje uwezo hamnaKwanza hatuna uwezo wa kujenga miundo mbinu ya kukidhi vigezo vya IAAF. Pia Diamond League si riadha peke yake, ni michezo kibao. Naunga mkono hoja yako
Hao waendeshaji wa kilimathon wameshindwa kuiboresha na kuwa standard ya juu, zawadi zimekua ndogo ambazo zimeshindwa kuvutia wale runner wenye profile kubwa matches yake imekua vile vile
Wameshindwa kuitangaza kilimarathon kimataifa haijulikana sasa kunafaida gani ya wanaoendesha kuendelea kuendesha
Hio kilimarathon bila serikali kuboresha miundombinu itaendelea kuwa na standard ndogo hivyo hivyo
Tanzania ingekua ni nchi inayojitambua miundombinu ya moshi ingeboreshwa sana ili hata standard ya kilimarathon iwe juu tofauti na sasa iko chini
Mazingira tu ya kiwanja cha ushirika ambapo ndo kilele cha kilimarathon ni mabovu sana na yako vile vile mpaka aibu
Sio ya kwaoLakini hiyo ni ya kwao. Kama unaona inaweza kuboreshwa, kwanini usiwatafute? Otherwise anzisha kitu chako cha high standard ukitangaze ili watu unaowataka waje.
Uzuri haujazuiwa kufanya hayo. Na kama Kili Marathon inachechemea, si uje na kitu chako kikali ili uwazibe mdomo?
By the way, naomba utuletee Namtumbo. Huku kwetu, hakuna marathon ya aina yoyote na kuna kila fursa maridadi