Kilimanjaro: Mhandisi wa Kilimo apewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga

Kilimanjaro: Mhandisi wa Kilimo apewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga

Kwa jinsi huyo mkurugenzi alivyojibu akiwa anajiamini naamini hata huyo mkurugenzi mwenyewe wala hata hajui tofauti kati ya mhandisi kilimo na mhandisi ujenzi. Kwa huyo mkurugenzi ili mradi wote wawili mwishoni kwenye "title" zao kuna neno engineer basi akajionea tu wapo sawa ampe kazi mhandisi kilimo kusimamia ujenzi wa majengo..
 
IANGALIWE VALUE FOR MONEY, KWANZA ILI UWEPO UWIANO WA FEDHA NA MAJENGO HUSIKA, SECONDLY CORRECTION IFANYIKE!, MAMA ALIKUWA NA PASSION YA MRADI UKAMILIKE, SASA SIJUI KAMA MKURUGENZI HOW, HAWANA KITENDO CHA SHUGHULI HIZO.
 
 
Back
Top Bottom