Naona ndio yaliyokazaniwa zaidi,tena ni tuvimilango wala sio labda cracks za kwenye kuta au msingi n.kKwa hiyo hayo mabaya ndo yapo kwenye plan pia?
Unashangaa huyo Lindi waziri Bashungwa kakutana na Mtu anayesimamia ujenzi kama Engineer ni mtu aliyesomea FalsafaKazi ipo kwa kweli