ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mmh!! Hapana mkuu nimewahi kwenda maeneo ya Marangu..ni balaa.Usafi hadi shambaniHilo suala la usafi wanakomaa tu pale stand tu.
[emoji23][emoji23]we Jamaa unaaribu Uzi wa watuHilo suala la usafi wanakomaa tu pale stand tu.
Habari ya kutupa taka ni katikati ya mji tu ndio mamlaka hufatilia ambàpo unaweza tembea kwa miguu kwa masaa mawili ukapamaliza kote, hapo majengo watu wanatupa tu uchafu kwa kwenda mbele, maimorial ndio kuchafu balaa. Moshi ina mazuri mengi sana ambayo ndio pekee hutajwa, madhaifu ni mengi mno kwanini mnayaficha? Mimi ntaandika mazuri na mnayo yaficha humu.Huwezi kufananisha Moshi na sehemu Kama mwanza.hii Ni kwa sababu Moshi yote ametapakaa mchaga.hakuuzii ardhi yake kizembe.anaweza akawa ana nyumba na asikupangishe akigundua we Ni mtu wa kabila lingine ukienda kichwa kichwa.wanajielewa Sana.si mtoto mdogo SI mtu mkubwa wote Ni wasafi.ukikamatwa umetupa taka faini 50000 na hawana masiara kabisa.ninachowapendea wanakula vizuri maziwa mgando,ndizi,maparachichi,kahawa,kuku.ndo maana wengi wao wanaishi miaka mingi
Pia wahaya wanajitahidi na wanyakusya wanazingatia Sana
Mimi home ni Marangu, unaongelea Marangu ipi mzee? Marangu mtoni? Mbona kuchafu ase au sijaelewaMmh!! Hapana mkuu nimewahi kwenda maeneo ya Marangu..ni balaa.Usafi hadi shambani
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha mzaha wewe,sasa kama kwako ni Marangu unachobisha watu si wasafi ni nini?Mimi home ni Marangu, unaongelea Marangu ipi mzee? Marangu mtoni? Mbona kuchafu ase au sijaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha mzaha wewe,sasa kama kwako ni Marangu unachobisha watu si wasafi ni nini?
Kwa sababu ukiangalia kwenye barabara za kuelekea majumbani kwa watu(baadhi),kwa njiani wameweka vijidude vya kuwekea taka.maeneo ya Marangu hotel,Marangu hills mpk Marangu stendi unayoijua wewe.Hamna Uchafu
Alafu pili unajua nini maana ya uchafu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kwa muktadha huu.Naomba niwe kimya tusibishane sanaPeleka uongo kule wewe, ukiona kuna hayo madude ya uchafu Marangu ujue kuna project wazungu wanafanya kwenye eneo hilo au wameweka tu baada ya kutalii kwenye shule na mfano zile dust bin za Kilimanjaro resort zimewekwa na mmiliki wa hiyo hotel kuzunguka hotel yake wala si watu binafsi. Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha mzaha wewe,sasa kama kwako ni Marangu unachobisha watu si wasafi ni nini?
Kwa sababu ukiangalia kwenye barabara za kuelekea majumbani kwa watu(baadhi),kwa njiani wameweka vijidude vya kuwekea taka.maeneo ya Marangu hotel,Marangu hills mpk Marangu stendi unayoijua wewe.Hamna Uchafu
Alafu pili unajua nini maana ya uchafu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kwa muktadha huu.Naomba niwe kimya tusibishane sana
Siku njema
Sent using Jamii Forums mobile app
Tribalism hii mkuu.. hata hivyo wachaga hawana ukabila kama unavyotaka kuaminisha watuHuwezi kufananisha Moshi na sehemu Kama mwanza.hii Ni kwa sababu Moshi yote ametapakaa mchaga.hakuuzii ardhi yake kizembe.anaweza akawa ana nyumba na asikupangishe akigundua we Ni mtu wa kabila lingine ukienda kichwa kichwa.wanajielewa Sana.si mtoto mdogo SI mtu mkubwa wote Ni wasafi.ukikamatwa umetupa taka faini 50000 na hawana masiara kabisa.ninachowapendea wanakula vizuri maziwa mgando,ndizi,maparachichi,kahawa,kuku.ndo maana wengi wao wanaishi miaka mingi
Pia wahaya wanajitahidi na wanyakusya wanazingatia Sana