ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Huwezi kufananisha Moshi na sehemu Kama mwanza.hii Ni kwa sababu Moshi yote ametapakaa mchaga.hakuuzii ardhi yake kizembe.anaweza akawa ana nyumba na asikupangishe akigundua we Ni mtu wa kabila lingine ukienda kichwa kichwa.wanajielewa Sana.si mtoto mdogo SI mtu mkubwa wote Ni wasafi.ukikamatwa umetupa taka faini 50000 na hawana masiara kabisa.ninachowapendea wanakula vizuri maziwa mgando,ndizi,maparachichi,kahawa,kuku.ndo maana wengi wao wanaishi miaka mingi
Pia wahaya wanajitahidi na wanyakusya wanazingatia Sana
Pia wahaya wanajitahidi na wanyakusya wanazingatia Sana