Kilimanjaro: Mtoto adaiwa kumuua mama kisa Sh5,000 ya Vicoba

Wachaga kwa hela ni noma. Nasikia kabla ya Uhuru walikua na sarafu yao pia na benki yao na Gavana wao.
 
Matukio Kama hayo Kilimanjaro ni mengi sana. Ila hayafiki sana kwenye media Kwasababu kubwa zifuatazo.

  • Kuishia kwa mapadre
  • Kuishia kwenye misamaha ya majani ya Isale, ndafu na pombe
  • Kuogopana (huku unaweza kuchomwa beto la kisu Cha kuchinjia nguruwe, na hakuna aliye tayari kutoa ushirikiano na ushahidi kwa polisi)
 
Hesabu nzuri sana. Ni katika kutafuta ahueni jela for sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…