Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mawasiliano ya Barabara ya Kizangaze yanayounganisha kata za Maore, Ndungu, Kihuruo na Bendera wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro, yamekatika kwa muda baada ya kingo za Daraja la Kizangaze kuvunjwa na mafuriko.
Daraja hilo limeharibiwa na mvua zilizonyesha usiku wa Desemba 20, 2024.
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Kilimanjaro, ikiongozwa na mkuu wa mkoa huo, Nurdin Babu ipo eneo la tukio ikiendelea na jitihada za kurejesha mawasiliano.