Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
unaeleweka sana, ila watajifanya hawakuelewiHivi kwanini watu wa huko wanapenda kuiweka hii mikoa kama mkoa mmoja? Kwanini kila mkoa usijivunie vipaji vyakevya mkoa husika mpaka muunganishe halafu ndio mseme vipaji kutoka huko? Kwanini isiwepo list pekee inayojitegemea ya vipaji vya Arusha na nyingine vya Kilimanjaro..mikoa mingine ingekuwa inafanya hivyo hakika mwisho wa siku tungeona Kaskazini kwa vipaji si chochote si lolote mfano Tusem Morogoro,Pwani na Dar es salaam ina vipaji vingi au Kigoma na Rukwa au Lindi na Mtwara..au tuje Mwanza na Mara na shinyanga tuunganishe tuseme mikoa hii ina vipaji vingi...watu wa Arusha na Kilimanjaro wanahisi kama wapi mkoa mmoja vile
aim for the stars