Mimi napanda Mbazi gari la kisabatoDah! Poleni sana wasafiri wa ndege. Sisi tunaopanda Shambalai Bus Service miaka nenda, tunaona nyota tu hapo.
Mbona kichwa cha mbuzi miguu ya kuku! Rekebisha Post iende sawa.Leo mida ya saa nane na dakika hamsini, ndege ya Precision air yalazimika kurudi before take off Baada ya kugunduaaa hitilafu kwenye ndege!
View attachment 2695298
Shukurani kwa Rubani alogundua tatizo mapema. Sasa inasubiriwa marekebisho yaishe ili ipae tena.
Ndege ilikuwa inatokea Mwanza kwenda Dar es Salaam kupitia Arusha.
View attachment 2695293